Wydad Casablanca watawazwa kuwa mabingwa wa Africa

py thon

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
2,471
4,424
Klabu ya wydad Casablanca ya nchini Morocco ligi ambayo Simon Msuva anacheza wabeibuka mabingwa wa klabu bingwa Africa "CAF" kwa kuwanyuka Al ahly goli moja kwa sifuri na hivyo kufanya aggregate kuwa 2-1 kwakuwa ugenini walitoka sare ya 1-1 ,fainali ya CAF huchezwa mara mbiri home na away

606e9c45ad18d93e14c814df2bf3f67f.jpg

efdd880aac985c0e4807219562f75f23.jpg

Nb:Msimu ujao Yanga mtuwakilishe vizuri
 
Simon Msuva hachezei Wydad Casablanca, anachezea Difaa el Jadida (sina hakika kama nimeandika sawa jina la hii klabu). Lakini klabu hii pia ni ya Morocco kama ilivyo Wydad.
 
Inapunguza radha...fainali ingekuwa inapigwa moja
Halafu yanachukua muda mrefu mnoo...mpaka tunasahau
 
Klabu ya wydad Casablanca ya nchini Morocco ligi ambayo Simon Msuva anacheza

efdd880aac985c0e4807219562f75f23.jpg

Huu Unazi Mwengine Ni Ulimbukeni kweeli!!!!

Kwani Ungeeleza tu bila Ya Kumtaja Msuva usingelifahamika? Au unahisi Mafanikio Ya Waydad Ndiyo ya Msufa Kwasababu Wapo ardhi Moja??
 
Huu Unazi Mwengine Ni Ulimbukeni kweeli!!!!

Kwani Ungeeleza tu bila Ya Kumtaja Msuva using Elijah anima? Au unahisi Mafanikio Ya Waydad Ndiyo ya Msufa Kwasababu Wapo ardhi Moja??
Ni namna nzuri ya kuripoti habari pia kuonyesha kuwa ligi ambayo MTZ anachezako soka ina teams ambazo ni bora afrika pia kuleta upana wa ufahamu kwa wale ambao walikuwa hawafaham.... 100% yuko sawa
 
Huu Unazi Mwengine Ni Ulimbukeni kweeli!!!!

Kwani Ungeeleza tu bila Ya Kumtaja Msuva using Elijah anima? Au unahisi Mafanikio Ya Waydad Ndiyo ya Msufa Kwasababu Wapo ardhi Moja??

Mkuu samahani aise. Using ni kitu gani? Elijah ni kitu gani? Na anima ni kitu gani?
 
hao kawaida yao.. angaliaga msimu akichukua mazembe jinsi inavyokuwa story ila timu za north africa huwa hazishtuagi watu sababu ni kawaida yao..

mwaka jana mamelodi sundown walishinda mara ya kwanza hizo kelele zake kama wametwaa world cup...

sasa usiombe hili kombe siku libebwe na yanga uone jery muro na mzee akilimali watavyoongea shombo mwaka mzima..

au siku mikia wa msimbazi walibebe ndipo utamjua why manara aliajiriwa simba.. ataongea yule miaka hata 10 itakuwa story hiyo hiyo

Dah sioni comments zikimiminika humu!!! Au kwakuwa bingwa ametokea North Africa??
 
hao kawaida yao.. angaliaga msimu akichukua mazembe jinsi inavyokuwa story ila timu za north africa huwa hazishtuagi watu sababu ni kawaida yao..

mwaka jana mamelodi sundown walishinda mara ya kwanza hizo kelele zake kama wametwaa world cup...

sasa usiombe hili kombe siku libebwe na yanga uone jery muro na mzee akilimali watavyoongea shombo mwaka mzima..

au siku mikia wa msimbazi walibebe ndipo utamjua why manara aliajiriwa simba.. ataongea yule miaka hata 10 itakuwa story hiyo hiyo

Umeongea facts mkuu. Pamoja sana
 
Mkuu samahani aise. Using ni kitu gani? Elijah ni kitu gani? Na anima ni kitu gani?

Oh God! Mkuu neno sahihi nililolikusudia Ni hili → "usingelifahamika"...

Lakini Kwavile Keyboard Yangu Ni ENGLISH (UK) kwahiyo inakuwa AutoCorrect Ndiyomana imejiandika Maneno Ya Kiingereza "Using" "Elijah" na "Anima"...

It was a spelling error Mkuu.
 
Tuko pamoja Mkuu ucjali.
 
Back
Top Bottom