www.mwananchi.co.tz is Hacked again

mtuwawatu

Senior Member
Oct 30, 2007
104
2
As usual, mwananchi is hacked again, i don't know why they haven't learn from the previous mistakes.
 
Website hii (mwananchi.co.tz) ni hatari kwa watumiaji wote wa computer, ina virusi hatari sana, ikiwa huna askari wa kuaminika kwenye PC yako, basi jihadhari nayo.
 
Nawashauri msiitembelee Mwananchi website kwa sasa kwakuwa ina virus. Kwa wale wenye antivirus basi ni vema mkaangalia kama kweli virus yenyewe imekuwa cleaned au la. Kama haikubali basi nenda MEMBERS ONLY forum kuna niliyoiweka inaweza kuwa dawa ya tatizo hilo.

Poleni na karibu :)
 
sijui nini hii? hawajifunzi wanafikiri kazi zao ni uchapisha makaratasi tu
 
Kwa wale wanaotembelea website ya mwananchi tafadhari msitembelee kama hamna strong antvirus/spyware. the website is infected with a deadly virus Troj/Iframe-AG.
 
Back
Top Bottom