'www.mwananchi.co.tz' has been hacked

Naona mafisadi wameivamia website ya Mwananchi.

Ma-webmaster wa site hiyo wangekuwa wanatembelea JF natumaini wangeona hii thread na kutatua hilo tatizo haraka likiwa bado changa.

Kwa sasa inavyo onekana website, huyo hacker kafanikiwa kuingiza utumbo wake kwenye database moja au mbili za hiyo site. Tahadhari ni kuwa kadiri muda unavyopita ndivyo itamuwia rahisi kuziingilia database zao zote.

SteveD.
 
wakiamka waka fix problem hakuna kubisha. Nimechukua ushahidi kabisaaa.
Walio miss hiki kitendo nao wataona.


attachment.php
 

Attachments

  • Untitled.jpg
    Untitled.jpg
    165.4 KB · Views: 443
bado iko hacked!...hope hapa JF kuna watu wazuri tu kwenye mambo ya Network Security...so please mwananchi.co.tz webmaster ask for a help.
 
hii ni hatari sasa, JF webmasters wetu hayo yachukuulie kama warning na tuzidi kujiandaa wapuuzi kama hawa wasije kutolet down
 
mwananchi is back online kama kawa na pia wale wazee wa "mambo yetu yale" nao kule kutamu kupo!.........tam tam...utamu
 
Back
Top Bottom