Wuamini wenzangu hii tabia Kanisani haikubaliki

sexologist

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
2,283
976
Unampigia simu mtu hapokei halafu anatuma meseji ''nipo kanisani''...

Jamani kanisani unapataje muda wa kushika simu.. Tena katoliki takatifu la mitume!!!!

Damn it..
 
Hahahaa haaaa

Nimecheka coz ht.mi huwa nafanya hivyo bt kabla sijaanza maombi. ...ila kweli sio vzr
 
Kwa hiyo ID yako sishangai kuona umepost ujinga huu

invest what you are willing to loose
 
Unampigia simu mtu hapokei halafu anatuma meseji ''nipo kanisani''...

Jamani kanisani unapataje muda wa kushika simu.. Tena katoliki takatifu la mitume!!!!

Damn it..
Unashangaa? Nami kweli naahangaa. Jpili jamaa yuko bize hadi wasap anachat

Imetumwa kupitia Tecno Camon Cx
 
Back
Top Bottom