Wtanganyika niwachoyo wa Z'bar kuibinya kiuchumi na kimaendeleo, wao huvutia kwao tu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wtanganyika niwachoyo wa Z'bar kuibinya kiuchumi na kimaendeleo, wao huvutia kwao tu.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by abdulahsaf, Jun 19, 2011.

 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  [h=1][/h]Written by amini // 19/06/2011 // Habari // 4 Comments

  [​IMG][​IMG]Mafuta ya Z'bar nimali ya Muungano jee Gus ,Almasi,Zahabu,Makaa ya mawe na minaral nyengine za Tanganyika ni mali ya Muungano?

  [​IMG]Mafuta ya Z'bar nimali ya Muungano jee Gus ,Almasi,Zahabu,Makaa ya mawe na minaral nyengine za Tanganyika ni mali ya Muungano?

  [​IMG]Wtanganyika wachoyo Gus ya Song Songo sio ya Muungano lakini mafuta Muungano huu Ujuh wa Smz kuna faida gani ya Muungano.

  Kuna habari kuwa viongozi wa ngazi za juu wa ccm/smz wakishirikiana na
  Spika wa Serekali ya Mapinduzi ya Zanzibar Pandu Ameri kificho lengo
  hasa la sera zao nikukubaliana na sera ya Serekali moja ambayo Zanzibar
  itakuwa haina nafasi yoyote kuwa nchi.
  Hivi sasa tupime Wzanzibar Zanzibar Wtanganyika wana i-treat kama ni
  nchi au mkoa wa Pwani ya Tanganyika? Wzanzibar munajuwa maana ya
  Tanzania Zanzibar? Maana halisi ni Tanganyika Zanzibar, nisawa na Kusema
  kiungo cha Muungano ni Rais wa Zanzibar kikatiba? lakini nikweli hili?.
  Jiulize Raisi wa Zanzibar na makamo wa Raisi wa Muungano Bilali Haribu
  kipi ndio kiungo cha Muungano? kama ni Bilali jee Bilali kapata ridhaa
  ya Watau wa Muungano ambao ni Wzanzibar wenyewe?.
  Hii yote ni kutusheza shere Watanganyika na kujifanya wao wana akili
  nyingi(kuduibia kimacho macho), lakini hii inakuja vipi? hii inakuja
  kutokana na viongozi wetu wa ccm/smz kukumbadia ilani ya chama ambayo
  inaingilia mpaka mambo yasio ya Muungano na kuwakabizi zima na jukumu la
  nchi ya wananchi wa Zanzibar kubebecha Kada wa ccm/smz waimalize
  Zanzibar wenyewe kwa kuwa foolish kimawazo.
  Wzanzibar munawafikiria vipi wanafki ccm/smz wanaposimama ktk Baraza La
  Uwakilishi na wakasema Muungano una kasoro na unainyoyo Zanzibar kuto
  kupiga hatuwa za Kiuchumi na kimaendeleo?.
  Kimtazamo wangu wanayo iuza Zanzibar niwa Zanzibar wenyewe ambao ni
  ccm/smz kutokana na njaa zao na kuhisi riski zao zinatokana Dodoma.
  Ktk mswada wa sheria ya katiba ni kwa nini mamuzi yote ya pangwe upande
  wa pili na Rais wa Tanganyika awe na mamuzi makubwa hali yakuwa suala la
  katiba ya Muungano halina mkubwa wala mdogo kwa vile ni nchi mbili
  zilizo ungana?.
  Jee viongozi wetu wa Baraza la Uwakilishi wako wapi kuinusuru Zanzibar
  kuzalilishwa kama hivi? au wanauogopa kupeleka mswada katika wajumbe wa
  Baraza kwa kumuogopa Kificho kuzuia? huyu Kificho nikama nani ktk hatma
  ya Wzanzibar wenyewe? kama ni nchi nyingine huyu Kificho basi ingeku
  ameshapigwa risasi lakini uwezo wa Wawakilishi upo wa kum-kick out huyu
  fisadi uko.
  ikiwa mumeshindwa kuikinga Zanzibar kura ya maoni iko turudishieni
  Wzanzibar tuamue hatma ya nchi yetu kama nyiyi muna oneleana muhali au
  haya? lakini tu Mukumbuke muhali wa mtu na mtu kwa kuto kufanya
  uwadilifu basi azabu ya Mungu ni kali na niyenye kumuza.
  Nasaha za Wzanzibar kuwaonya viongozi wa ccm/smz zimesha fanyika nyingi
  na hivi sasa tumeweka mikono juu kungojea hukumu ya Allah, kuwahukumu
  anavyo juwa yeye.
  Jukumu la uongozi liko mpele ya zima ya M/mungu kwa hio kila mchunga
  ataulizwa alicho kichunga, kwa hio na nyiyi mutasaidiwa na ilani za
  Dodoma na sera za Chama.
   
 2. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  mlishaambiwa na mkulima kwamba vunjeni muungano tuone nani atakayeumia.Sijui mnasubiri nini.Nyie si nchi wasiwasi wa nini?
   
 3. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Tunawaomba wazanzibari chonde chonde acheni chokochoko zenu za kuwanyanyasa wabara walioko huku.Tuwachomea vibanda vyao vya biashara na makanisa mnaanzisha vita.Kwani tumeshakuwa maadui kiasi hicho.Acheni hizo bana!
   
Loading...