ThinkPad
JF-Expert Member
- Apr 11, 2008
- 1,844
- 232
Ongera sana TTCL kwa kuleta EV-DO, Lakini cha kusikitisha ni gharama zenu maana nyinyi mlidai mmejiunga na mkonga,
TTCL mobile internet tariffs
You get charged based on data consumption (uploads and downloads). One Megabyte is used as unit although charging is actually done in Kilobytes (smaller unit).
Charging is by Flow (MB) and the Price is Tshs 160.00 per MB for both basic mobile data and mobile Broadband.
NOTE:
One megabyte can surf up to 20 web-pages; send/receive up to one hundred e-mails; Up to one hour of web-chatting. hii ni kweli !!!!!????
TTCL 2 GB bundle is 100,000/=
ZANTEL THEY CHARGE 5GB FOR ONLY 130,000/=
NA SPEED YAO NI KUBWA KULIKO TTCL nadhani ndio inaongoza kwa speed nzuri.
1MB FOR 50 Tsh. up to 1MB FOR 27 TSH
Kama ni mimi nashauri watu watumie Zantel maana gharama zao ni ndogo sana ukilinganisha na mitandao mingine na speed yao ni kubwa kulinganisha na Voda, Buzz, Celtel, Sasatel na TTCL yenyewe BBL standard.
Unachotakiwa ili ufaidi zantel nunua Modem EC 226 utaikubali mwenyewe,
Hiyo modem unauwezo wakufunga hata Computer 30 na bado ukapata speed ya kufa mtu.
TTCL inabidi wapunguze gharama zao kama Zantel,
Kuongea haya yote ninayo modem ya Zantel,TTCL ev-do na Vodaphone hivyo nimelinganisha speed na gharama nikakuta bado na shawishika kutumia Zantel,
TTCL nimeiweka Kando kama kunamtu anaitaji Naiuza kwa punguzo la 20% nimeitumia siku 4 tu!
Ila siku TTCL wakigundua kuwa gharama zao ziko juu wakipunguza Ntajiunga nao kwasasa Hongera lakini kwaheri.