Wote wanaohamia CCM kutoka Chadema kwa sababu ya sakata la Zitto, hawakuwa wanachama bali mamluki!!

sodeely

Senior Member
Oct 3, 2011
187
117
Nikinukuu kipengele kimoja kutoka kwenye kadi ya mwanachama ya CHADEMA, kipengele cha 3 kinachosema "Kutetea na kueneza itikadi,falsafa na madhumuni ya chama ndani ya jamii anamoishi"
Kwa kutumia kipengele hicho tu,ni wazi kuwa wale wote ambao wameamua kukiacha chama eti tu kwa sababu ZITTO KABWE amevuliwa uongozi ndani ya CHADEMA, hawafai kuwa wanachama sio ndani ya CHADEMA tu hata huko wanakoenda pia.. Kwani msaliti ni msaliti tu hata kama atabadilisha mavazi..

Ninachojua mimi CHADEMA sio chama cha mtu,bali ni taasisi ya umma wa watanzania wote.. Yeyote anayejiunga ndani ya chama kwa ajili ya mtu fulani,huyo hafai kabisa kuitwa mwanachama.. Mwanachama halisi wa CHADEMA ni lazima tasimama na kukitetea kipengele nilichotaja hapo juu..

Nina ungana na maamuzi ya kamatu kuu ya CHADEMA,kwani naamini ni watu makini sana.. Wale mnaoishi kwa ajili ya mtu/watu endeleeni na CHADEMA kamwe hakitakufa,kuyumba na kitazidi kusimama imara...

Viongozi wetu endeleeni kung'oa magugu yote bila kuogopa... CHADEMA sio CCM inayoshindwa kuwavua magamba watu kwa kuogopa nyadhifa walizo nazo...

Mamluki wote ondokeni,hamieni huko huko CCM ZOA ZOA!!
 
utakuta wana element ya "UMALAYA" kwenye ubongo wao! ccm wanatumia mbinu hizi kunyanyasa upinzani, maana pesa wanazo,
wamefanya madudu mengi kwa hiyo lazima wakae madarakani kwa gharama yoyote ile!
 
Sasa akitoka CDM ulitaka ahamie nyumbani kwako? Hili ni jambo la kawaida kabisa mtu kuhama chama. Umesahau kuwa wengi walio cdm sasa walikua ccm na vyama vingine? Na wao ni malaya?
 
Nikinukuu kipengele kimoja kutoka kwenye kadi ya mwanachama ya CHADEMA, kipengele cha 3 kinachosema "Kutetea na kueneza itikadi,falsafa na madhumuni ya chama ndani ya jamii anamoishi"
Kwa kutumia kipengele hicho tu,ni wazi kuwa wale wote ambao wameamua kukiacha chama eti tu kwa sababu ZITTO KABWE amevuliwa uongozi ndani ya CHADEMA, hawafai kuwa wanachama sio ndani ya CHADEMA tu hata huko wanakoenda pia.. Kwani msaliti ni msaliti tu hata kama atabadilisha mavazi..

Ninachojua mimi CHADEMA sio chama cha mtu,bali ni taasisi ya umma wa watanzania wote.. Yeyote anayejiunga ndani ya chama kwa ajili ya mtu fulani,huyo hafai kabisa kuitwa mwanachama.. Mwanachama halisi wa CHADEMA ni lazima tasimama na kukitetea kipengele nilichotaja hapo juu..

Nina ungana na maamuzi ya kamatu kuu ya CHADEMA,kwani naamini ni watu makini sana.. Wale mnaoishi kwa ajili ya mtu/watu endeleeni na CHADEMA kamwe hakitakufa,kuyumba na kitazidi kusimama imara...

Viongozi wetu endeleeni kung'oa magugu yote bila kuogopa... CHADEMA sio CCM inayoshindwa kuwavua magamba watu kwa kuogopa nyadhifa walizo nazo...

Mamluki wote ondokeni,hamieni huko huko CCM ZOA ZOA!!

Sio chama cha mtu kweli ila akiondoka Mbowe na wachaga wooote wanaondoka...
 
Si maamuzi yao! nadhani hawakuwa wanachama wa CDM bali walikuwa wanachama wa ZITTO. Waondoke hawatufai hata kidogo. Ni dhahiri hao wote ndo wasaliti. Je Zitto asipohamia huko magamba watafanyeje?
 
walikuwa wafuasi wa zitto na siyo wananchama wa chadema, msingi mkuu wa mwanachadema ni kupigania mabadiliko ya mfumo na siyo mtu kwani siku zote ukiweka matumaini mikononi mwa watu au kufuata mtu badala principal unazoziamini basi siku zote you will be disappointed. nchi yetu inayumba leo kwa sababu haikujengwa katika mfumo mzuri bali ilijengwa kwa kumtazama mtu leo hii watanzania wana safa kwa sababu mhusika aliyenga mfumo kwa kuangalia watu hayupo tena everything is falling apart.
 
Kwani huko ccm ndiko zzk amedai atahamia? Kama nikumfuata subirini ahamie yeye zito ndipo nao vraka viende
 
Lilambo maana yake mfuko Mkubwa ambao pia unaweza kuwekea uchafu kwa comments zako naona ubongo wako umebeba uchafu
 
Wapo kwa ajili ya mtu. Wameonesha umasikini wa fikra kwa kiwango kikubwa sana. Wakiwa cdm waliiona ccm ni chafu, leo imekuwa safi kwa lipi? Vatamwa hao...
 
!
!
nadhani wanakuwa wamejionesha mbele ya jamii ya kwamba walikuwa hawajui wanachokifanya, sababu ukiuliza nini hasa kinakurudisha haeleweki kabisa
 
Nikinukuu kipengele kimoja kutoka kwenye kadi ya mwanachama ya CHADEMA, kipengele cha 3 kinachosema "Kutetea na kueneza itikadi,falsafa na madhumuni ya chama ndani ya jamii anamoishi"
Kwa kutumia kipengele hicho tu,ni wazi kuwa wale wote ambao wameamua kukiacha chama eti tu kwa sababu ZITTO KABWE amevuliwa uongozi ndani ya CHADEMA, hawafai kuwa wanachama sio ndani ya CHADEMA tu hata huko wanakoenda pia.. Kwani msaliti ni msaliti tu hata kama atabadilisha mavazi..

Ninachojua mimi CHADEMA sio chama cha mtu,bali ni taasisi ya umma wa watanzania wote.. Yeyote anayejiunga ndani ya chama kwa ajili ya mtu fulani,huyo hafai kabisa kuitwa mwanachama.. Mwanachama halisi wa CHADEMA ni lazima tasimama na kukitetea kipengele nilichotaja hapo juu..

Nina ungana na maamuzi ya kamatu kuu ya CHADEMA,kwani naamini ni watu makini sana.. Wale mnaoishi kwa ajili ya mtu/watu endeleeni na CHADEMA kamwe hakitakufa,kuyumba na kitazidi kusimama imara...

Viongozi wetu endeleeni kung'oa magugu yote bila kuogopa... CHADEMA sio CCM inayoshindwa kuwavua magamba watu kwa kuogopa nyadhifa walizo nazo...

Mamluki wote ondokeni,hamieni huko huko CCM ZOA ZOA!!

Swala chama si sawa na ushabiki wa mpira,unang'ang'ania hata ikishuka daraja,democrac n mfumo vyama vingi ni kuangalia viongoz wanafaida gani katika nchi na si uanachama,tukiendelea kuwa wazalendo kwenye vyama na kuwa kama shabik wa tim tutapotea sana sisi watanzania
 
Big up mleta uzi, kama ulikuwa CDM kwa ajili ya Zitto na si kwa sababau za itikadi na mrengo wa Chama we nenda tu. CHADEMA itaendelea kuwepo.
 
Nikinukuu kipengele kimoja kutoka kwenye kadi ya mwanachama ya CHADEMA, kipengele cha 3 kinachosema "Kutetea na kueneza itikadi,falsafa na madhumuni ya chama ndani ya jamii anamoishi"
Kwa kutumia kipengele hicho tu,ni wazi kuwa wale wote ambao wameamua kukiacha chama eti tu kwa sababu ZITTO KABWE amevuliwa uongozi ndani ya CHADEMA, hawafai kuwa wanachama sio ndani ya CHADEMA tu hata huko wanakoenda pia.. Kwani msaliti ni msaliti tu hata kama atabadilisha mavazi..

Ninachojua mimi CHADEMA sio chama cha mtu,bali ni taasisi ya umma wa watanzania wote.. Yeyote anayejiunga ndani ya chama kwa ajili ya mtu fulani,huyo hafai kabisa kuitwa mwanachama.. Mwanachama halisi wa CHADEMA ni lazima tasimama na kukitetea kipengele nilichotaja hapo juu..

Nina ungana na maamuzi ya kamatu kuu ya CHADEMA,kwani naamini ni watu makini sana.. Wale mnaoishi kwa ajili ya mtu/watu endeleeni na CHADEMA kamwe hakitakufa,kuyumba na kitazidi kusimama imara...

Viongozi wetu endeleeni kung'oa magugu yote bila kuogopa... CHADEMA sio CCM inayoshindwa kuwavua magamba watu kwa kuogopa nyadhifa walizo nazo...

Mamluki wote ondokeni,hamieni huko huko CCM ZOA ZOA!!

tatizo wengi tumekuwa washabiki wa siasa badala ya wanachama, wote watakao hama chadema hawakufaa kuwa chadema, wala hawakufaa kuwa katika mchakato wa kimapinduzi.

mimii kwa mtazamo wangu sikubaliani na maamuzi yaliyotolewa na kamati kuu, LAKINI naheshimu maamuzi yao ili chama kiendelee, kunawakati katika maisha lazima kukubali kutokubaliana ili maisha yaendelee, mimi si mshabiki wa zito wala kitila,
kuna wapumbavu amabo wala hawana sababu wala hawaelewi chochote wanashabikia na kuamua kuhama chama kisa zito kaadhibiwa, Mimi sikuzote nasema kama ukiwa upinzani, ukaona chama chako hakifai nenda chama kingine cha upinzani na kama vyote havifai anzisha chakwako, SIO kwenda CCM, ukihama upinzani kwenda CCM wewe ni MNAFIKI, Je ule ubaya wa CCM uliokuwa ukiuhubiri umebadilika?
HERI KUWA NA PENGO KULIKO KUWA NA JINO BOVU.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom