sodeely
Senior Member
- Oct 3, 2011
- 187
- 117
Nikinukuu kipengele kimoja kutoka kwenye kadi ya mwanachama ya CHADEMA, kipengele cha 3 kinachosema "Kutetea na kueneza itikadi,falsafa na madhumuni ya chama ndani ya jamii anamoishi"
Kwa kutumia kipengele hicho tu,ni wazi kuwa wale wote ambao wameamua kukiacha chama eti tu kwa sababu ZITTO KABWE amevuliwa uongozi ndani ya CHADEMA, hawafai kuwa wanachama sio ndani ya CHADEMA tu hata huko wanakoenda pia.. Kwani msaliti ni msaliti tu hata kama atabadilisha mavazi..
Ninachojua mimi CHADEMA sio chama cha mtu,bali ni taasisi ya umma wa watanzania wote.. Yeyote anayejiunga ndani ya chama kwa ajili ya mtu fulani,huyo hafai kabisa kuitwa mwanachama.. Mwanachama halisi wa CHADEMA ni lazima tasimama na kukitetea kipengele nilichotaja hapo juu..
Nina ungana na maamuzi ya kamatu kuu ya CHADEMA,kwani naamini ni watu makini sana.. Wale mnaoishi kwa ajili ya mtu/watu endeleeni na CHADEMA kamwe hakitakufa,kuyumba na kitazidi kusimama imara...
Viongozi wetu endeleeni kung'oa magugu yote bila kuogopa... CHADEMA sio CCM inayoshindwa kuwavua magamba watu kwa kuogopa nyadhifa walizo nazo...
Mamluki wote ondokeni,hamieni huko huko CCM ZOA ZOA!!