Wote wanafiki,hatuna lolote??. . . Sikia ushauri huu . . .!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wote wanafiki,hatuna lolote??. . . Sikia ushauri huu . . .!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eiyer, Jul 26, 2012.

 1. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Imekuwa ni kawaida sana kwa pande mbili hizi zinazoshutumiana lakini at the same time zikihitajiana sana. . . . . . . . . . . . . . . . . . , . . . Wanawake na Wanaume,yakimfika mwanaume atalaumu wanawake sana,na yakimfika mwanamke naye atafanya hivyo pia.Ukitembea barabarani huwezi kumkuta ambae hajatendwa,na pengine huenda kama atakua na kaumri kakubwa kama Kaunga gfsonwin au Asprin na Dark City na hata mimi (maana ka umri kameenda kidogo ebo!)wanaweza kukuambia wametendwa mara milioni kidogo.Mwanaume anamshutumu mwanamke,nae mwanamke anafanya hivyo pia. . . . . . . . , . . . . . . . . . . . .

  Nimefikiri sana nimejiuliza nani mkosaji au mwenye makosa?Nikapata jibu wote ni wakosaji,na kibaya zaidi kila upande hauko tayari kukubali ukweli.Ni kurushiana mawe ya lawama. . . Ukiona thread yenye kichwa kimeandikwa "wanaume mtatuua" humo mtakuta wanawake wanawalaumu sana wanaume.Tena ukikuta nyingine imeandikwa "wanawake ni wa hovyo" humo utakuta wanaume wanawavurumishia mawe ya lawama wanawake.

  Jamani mpaka lini? Jambo hili halitusaidii wala halitujengi.Kwanza kila upande unamhitaji mwingine,huo ni ukweli,tuweke silaha chini tujigeuzie kioo tujiangalie bila woga,wanaume tusemezane,wanawake nao vivyo hivyo,kisha tuache tofauti zetu. . .Tukubaliane kwamba bila kuambiana ukweli hatutajua upande upi unahitaji nini kutoka upande wa pili mpaka Yesu atarudi. Mfano,mpaka leo na umri wangu huu(zaidi ya miaka 32)sijui wanawake wanahitaji nini,na sio mimi tuko wengi,je tuendeleze lawama?

  Tukubali wote tuna makosa tukae chini tuyamalize!
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mwanamke na mwanaume ni sawa na 2 faces on the same coin
   
 3. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  So,tufanye nini?Au tuendelee kutunishiana misuli!
   
 4. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hapo kweli umenena mkuu, ni kweli mara nyingi inakuwa mambo ya mwamba ngoma, kila mmoja anajarb kujionesha kuwa yy ndiye anayeonewa. tunasahau katika karib kila jambo linalotokea na ss tunahusika kwa asilimia fulan kutokea kwa jambo hlo, kama unavyosema kuna haja ya kukaa na kuzungumza na kuona kila mtu amepotea wapi na kuona ni namna gan mnaweza kufix relation yenu.

  Tatzo hapa ni kuwa mmoja anaweza akawa na akili hyo bt mwenzi akawa vinginevyo, na hapo ndipo panapokuwa pagumu, cha msingi ni wanaume kwa wanawake wote tuwe na busara na hekima kubwa kukabiliana na matatzo ya relation zetu. Tujenge mazoea ya kuzungumza na kusikilizana, kuwa wakweli kuambizana kuwa mm hk nataka hki nope, kingine ambacho mejifunza kwa kweli ni kuwa wengi wetu huwa tunakazana kuwabadili wenzi wetu kuwa vile tunataka, sio jambo baya ila mabadiliko mtu anafanya mwenyewe akiamua, ukifanikiwa sawa ila usipofanikiwa heb jua where to stop, coz siyo rahc kumbadilisha mtu. kung,ang,ana kufanya hvyo ndio kunakopelekea mi ugomvi na sometimes hata cheating, sasa ukishindwa jifunze namna ya kumzoea mwenzio alivyo na ujitune ww kuishi nae vile alivyo.
   
 5. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  wanawake tulisha waambia wanawake kuwa sisi tunataka K bila commitment ila wao hawalitaki hilo...sasa tufanyaje?
   
 6. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mwanamke hupigwa kwa upande wa kanga, sasa mwanamme je hupigwajeee?
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  hupigwa na nyama isiyo mfupa.

   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Ishini nao kiakili.
   
 9. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Hizo zisizo na commitment zinauzwa mitaa ya Ohio, Lango la jiji na etc. Hapo hapo tukiziuza mnatuita machangu kweli nyinyi hamueleweki!
   
 10. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Na sisi tunahitaji relationship, na hakuna relationship isiyo na commitment hata ya muda mfupi!
   
 11. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #11
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  kama unataka k bila commitment nenda kanunue za machangu!
   
 12. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #12
  Jul 27, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,259
  Trophy Points: 280
  Ngoja nikalipulize kwanzA, ntarudi.
   
 13. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #13
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Wanawake na wanaume wote tu binadamu lakini tunatofautiana sana kifikra na kimtazamo hapo ndo tatizo linapoanza! Wanaume wako so phyisical na wanatumia akili zaidi while wanawake wako so emotional na wanatumia hisia zaidi. Wanaume hua wanaanza kufikiri kwanza then ndo wanahisi na wakati wanawake ni virceversa! Women &men hatuwezi kua sawa what is needed ni jinsi ya kuelewana na kuchukuliana madhaifu yetu bila ugomvi..
   
 14. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #14
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,901
  Trophy Points: 280
  Eiyer maisha mazuri ni yale ya kujiassess na kila kosa litokeapo uone kamba wewe ndiye sababisho kabla hata ya kumuona mwenzio. hapa pana theory ya nusu nusu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #15
  Jul 27, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Eiyer nakubaliana na wewe kwa kiasi kukibwa sana na hii thread yako. Ki ukweli inatakiwa ifike wakati pande hizi mbili ambazo kamwe haiwezekani pande moja kuishi bila nyingine zikae chini na kuelewana.

  Lakini kuna changamoto moja kubwa maana mahusiano ya pande hizi mbili hutegemea na mahusiano baina ya couple husika (Mwanaume na Mwanamke). Ninapozungumzia relationship kati ya couple namaanisha mapenzi na ukaribu baina ya hao wawili ambapo pia, mbali na mvuto na mapenzi ya moyo, uelewa baina ya hizo couple unahusika zaidi.

  Ni vigumu sana kupata suluhu ya matatizo yanayohusu couple kwa ujumla ndani ya jamii kwa kutupia lawama kwa wanawake pekee yao au wanaume pekee yao, maana kila mwanamke au mwanaume ndani ya couple wanaugomvi au hali ya kutoelewana kwa namna ya tofauti sana. Wapo wanaogambana kutokana na uaminifu ktk ndoa, wengine ni kiburi, unyanyasaji, uvivu, uchafu, tamaa, hisia, umbea, uchoyo, ndugu, marafiki, uhuni nk. Matatizo haya pia hupaliliwa na uelewa baina ya hao wahusika wenyewe.

  Kwa maoni yangu, nafikiri jambo muhimu ni kufundishana namna ya kuelewana na kukwepa migogoro isiyo ya lazima ktk mahusiano kwa mwanaume na mwanamke ndani ya couple moja moja. Pia kukumbushana na kufundishana kuaminiana na kujifunza kuridhika kwa vitu tunavyopata toka kwa wenzi wetu. Ni vzr pia kuwa na misimamo thabiti ktk mahusiano na kuwa makini na ndg na marafiki wenye nia mbaya ndani ya ndoa. Kwa kifupi ni kijitahidi kwa wenzi kuwa kitu kimoja kukomesha migogoro isiyo ya lazima badala ya kutupiana lawama!

  Maisha ya furaha kama haya chini kwa couple huwa yanafurahisha sana ...
  [​IMG]
   
 16. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #16
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Wewe unatakiwa umfanyie nini?
   
 17. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #17
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,901
  Trophy Points: 280
  shostito wangu Kaunga jitu kama hili mzabzab hutakiwi hta kumjibu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #18
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Unadhani hivyo tu inatosha?
   
 19. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #19
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Haya ya kushambuliana ndo hayatatufikisha popote!
   
 20. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #20
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Hny,slow down plz . . . . . . . .!!
   
Loading...