Wote walioshiriki uongo huu Zanzibar, Historia itawahukumu

JERUSALEMU

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
3,112
3,536
salamu kwenu wanajamvi.

Yametimia. wamepanga na hatimae waliyo kusudia yawe yamekuwa.Dr Shein ameapishwa lakini baada ya mlolongo mrefu wa matukio yenye utata mtupu.Kifupi wamehujumu uchagzi na kuinajisi kweli na kamwe haitawaacha huru.Hebu tutafakari kwa pamoja mambo haya.

Zanzibar ilikuwa na wapiga kura walioandikishwa kama laki tano na eshee hivi, Katika uchaguzi wa October 25, maalim Seif Sharif Hamadi kwa matokeo yalio bandikwa vituoni alipata kura 220,000 na Dr shein alipata kura 175,000.ukijumlisha unapata kura 395,000.Ikimaanisha kwamba ukijumlisha na kura zilizo haribika kama 5000, watu walio jitokeza kupiga kura walikuwa asilimia 80 hivi.Na hii ndio sababu upigaji kura uliendelea siku nzima na vituo vilfurika watu.

Kwa mujibu wa Jecha , anasema katika uchaguzi wa marejeo Dr shein amepata kura 299,980 karibu 300,000 ukijumlisha na walizopata wagombea wa vyama vingine walipata kura 70,000 kwa pamoja, jumla unakuta watu walio jitokeza ni 375000!! karibu sawa na watu waliojitokeza October 25.

Sasa kama hiyo ni kweli kwanini vituo vingi vilikuwa havina watu mapema sana? vituo vingi upigaji kura ulikamilika saa tano au saa sita hivi mchana.sasa kama tume ya Jecha ni wakweli wapate ujasiri watuoneshe kwa kila kituo watu walio piga kura ili tukijumlisha tupate idadi hiyo walio sema. kama hiyo ingekuwa kweli basi kazi ya kuhesabu kura isingekamilika ndani ya muda mfupi vile!!

Binafsi nachukia sana uongo hata ungesemwa na nani, naamini kutoka dhati ya oyo wangu kuwa Jecha ameudanganya ulimwengu kwa kuwaridhisha wanasiasa waroho wa madaraka.Wito wangu kwa wana siasa wote wana penda ukweli wawe wana ccm au CHADEMA wajitenge na uongo huu wa Jecha ili Historia isije ikawahukumu na wao pamoja nae.Ama kwa Dr shein nadiriki kusema hana idhini ya MWENYEZI MUNGU kuitawala Zanzibar, huo ndio ukweli.
 
Kama uchaguzi mlisusia ya nini kuuliza waliojitokeza, Hilo waachieni Tadea Na ADC.
Sasa kama wataleta justification kaonyesha jinsi ulivokuwa huru Na wa haki mtautambua...!??
Ina maana mlisusa wakati mate ya uchu yanadondokea mwenye Meno...??
 
salamu kwenu wanajamvi.

Yametimia. wamepanga na hatimae waliyo kusudia yawe yamekuwa.Dr Shein ameapishwa lakini baada ya mlolongo mrefu wa matukio yenye utata mtupu.Kifupi wamehujumu uchagzi na kuinajisi kweli na kamwe haitawaacha huru.Hebu tutafakari kwa pamoja mambo haya.

Zanzibar ilikuwa na wapiga kura walioandikishwa kama laki tano na eshee hivi, Katika uchaguzi wa October 25, maalim Seif Sharif Hamadi kwa matokeo yalio bandikwa vituoni alipata kura 220,000 na Dr shein alipata kura 175,000.ukijumlisha unapata kura 395,000.Ikimaanisha kwamba ukijumlisha na kura zilizo haribika kama 5000, watu walio jitokeza kupiga kura walikuwa asilimia 80 hivi.Na hii ndio sababu upigaji kura uliendelea siku nzima na vituo vilfurika watu.

Kwa mujibu wa Jecha , anasema katika uchaguzi wa marejeo Dr shein amepata kura 299,980 karibu 300,000 ukijumlisha na walizopata wagombea wa vyama vingine walipata kura 70,000 kwa pamoja, jumla unakuta watu walio jitokeza ni 375000!! karibu sawa na watu waliojitokeza October 25.

Sasa kama hiyo ni kweli kwanini vituo vingi vilikuwa havina watu mapema sana? vituo vingi upigaji kura ulikamilika saa tano au saa sita hivi mchana.sasa kama tume ya Jecha ni wakweli wapate ujasiri watuoneshe kwa kila kituo watu walio piga kura ili tukijumlisha tupate idadi hiyo walio sema. kama hiyo ingekuwa kweli basi kazi ya kuhesabu kura isingekamilika ndani ya muda mfupi vile!!

Binafsi nachukia sana uongo hata ungesemwa na nani, naamini kutoka dhati ya oyo wangu kuwa Jecha ameudanganya ulimwengu kwa kuwaridhisha wanasiasa waroho wa madaraka.Wito wangu kwa wana siasa wote wana penda ukweli wawe wana ccm au CHADEMA wajitenge na uongo huu wa Jecha ili Historia isije ikawahukumu na wao pamoja nae.Ama kwa Dr shein nadiriki kusema hana idhini ya MWENYEZI MUNGU kuitawala Zanzibar, huo ndio ukweli.
NYUMBUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
 
Waafrica tufike wakati tusijidharau mambo mengine tuwetunayasimamia sisi mwenyewe si mpaka aje mkoloni atusimamie uchaguzi ule dunia inatushangaa kweli waafrica zaid ya kucheza ngoma sijuwi kama tunaweza mengine
 
"They have put a sword on a centre that united us, The centre does no longer hold, things are falling apart"- Chinua Achebe (Things Fall Apart)

..
 
Uchaguzi uliisha
Wacheni Upumbavu
Nimuda wa kufanya kazi
Hizo ngonjera zenu hazina maana
 
Waafrica tufike wakati tusijidharau mambo mengine tuwetunayasimamia sisi mwenyewe si mpaka aje mkoloni atusimamie uchaguzi ule dunia inatushangaa kweli waafrica zaid ya kucheza ngoma sijuwi kama tunaweza mengine
Usisahau na kuzaa sana! Ndiyo, huu unkrunziza wa Jecha, Shein na timu yao umeongeza ushahidi kuntu kwanini Afrika itaendelea kuwa maabara ya Western scholarship kuhusu evolution ya binadamu.
 
Waafrica tufike wakati tusijidharau mambo mengine tuwetunayasimamia sisi mwenyewe si mpaka aje mkoloni atusimamie uchaguzi ule dunia inatushangaa kweli waafrica zaid ya kucheza ngoma sijuwi kama tunaweza mengine
baada ya kusoma hii nimeona aibu sana kuwa mwafrika na sana kuwa mtanzania .
 
Back
Top Bottom