Wote waliokuwa wakimtunuku JK medali, udokta nk mbona hata hawasikiki wakimpa support?

Erwin Rommel

JF-Expert Member
Dec 1, 2013
429
195
Watu, taasisi, na hata serikali za nchi za nje (hususan China) ambazo kwa nyakati tofauti wamemtunuku JK nishani, 'udokta uchwara' eti kwa utawala bora na kusimamia masuala ya taifa vizuri, mbona mko kimya? Mpeni faraja mjamaa, mambo magumu sana!

Kuna kijarida kimoja cha marekani kinachoendeshwa na ma-Afro American mwaka uliopita nacho kilimpa 'udokta' na nishani hiyo ilipokelewa na Membe. Mbona sasa hivi kimeuchuna?

Hivi walivyokuwa wanampapatikia, walikuwa kweli wanajua undani wa JK? Kwamba ni mbabaishaji tu?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom