Wote tunashuka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wote tunashuka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BABA JUICE, Jul 17, 2011.

 1. BABA JUICE

  BABA JUICE JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 428
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kuna baadhi ya watu ambao wanatabia za chura inabidi niwaongelee hapa ili kama ni wewe urekebishe tabia yako. Utakuta mmepanda gari(busi la abiria) alafu basi lenyewe limejaa tele hadi wengine wamesimama hadi mlangoni....gari linapofika kituoni kwa mfano posta ambapo tunatakiwa wote tushuke, utakuta mtu amekaa kiti cha nyuma au katikati anakurupuka anataka kushuka wakati kuna watu wamesima hata hawajaanza kushuka wewe unaomba njia unataka kushuka wakati wote tumefika kituo cha mwisho na tunashuka wote.huu sio ustaarabu jirekebishe kama ulikuwa na haraka sana ungelala posta.
   
 2. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nimeipenda sana hii mkuu..inakera kweli maana nyie wengine sasa mnaonekana wajinga
   
 3. BABA JUICE

  BABA JUICE JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 428
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  inabidi watu wabadilike
   
Loading...