Wote ni Madokta/ dakta hakuna Madikteta?

Mcharuko

JF-Expert Member
Sep 25, 2011
209
172
Habari za asubuhi kaka zangu na dada zangu, Leo nimeamka nikijiuliza
Swali hili, HAKUNA DIKTETA ALIYEBAKIA KATIKA AFRIKA?

Ukiacha hawa wanaoitwa Dokta/dakta .............................. hakuna
Dikteta................................. Mbona kuna baadhi ya maraisi hapa
Afrika wanafanana na Madikteta? (Sijakusudia wa TANZANIA)
 
Back
Top Bottom