Wote alioshiriki na kusababisha vurugu za mbagala kukiona.

Kama unaongelea hotuba aliyoitoa Shinyangj basi umenoa.
Hakutumia lugha yoyote ya msisitizo, na hakuwa serious hata chembe.

Jambo aliloonyesha kuguswa nalo na kuongea kwa ukali ni pale aliposema..."hata kama ni kijana mdogo, kukojolea kuruani ni kosa kubwa sana"!
Hivi wewe unamjuwa JK au unamsikia? JK leo alifanya ziara ya ghafla kutembelea yale makanisa yaliyochomwa moto Mbagala. Kama unadhani JK yupo Shinyanga umenoa na wiki ijayo anakwea mwewe kwenda Muscat.
 
Nimechoshwa na stori za Mkuu wa Kaya, mambo mengi walimgomea alipojaribu kufurukuta wakaandamana hadi wizarani, sasa kimya! Sijui kama Ndalichako atasalia kwenye kiti. Sheikh Ponda anaongoza mashambulizi, Kova anatoa maonyo kama mbwa koko. Sijui ziwa Nyasa 'limeuzwa? Ngoja nivumilie kuwa Mtanzania...
 
Kama unaongelea hotuba aliyoitoa Shinyangj basi umenoa.
Hakutumia lugha yoyote ya msisitizo, na hakuwa serious hata chembe.

Jambo aliloonyesha kuguswa nalo na kuongea kwa ukali ni pale aliposema..."hata kama ni kijana mdogo, kukojolea kuruani ni kosa kubwa sana"!

wewe Paka nyau ndo umenoa, nimeongelea kauli aliyoitoa akiwa kanisani Mbagala.
 
hakuna kitu hapo

alishaahidi ana list za wauza unga, wala rushwa, majambazi nk. umeshawahi kuona chochote??

Hizo ni propaganda tu baada ya kubinywa pabaya

halafu siku JF hii breaking news kama inapoteza maana tu
 
Hahahahahaha..!? Tehtehtehteh...kwikwikwikwikwi...mbavu zangu mie, lol, bora angeongea kamanda mikengeza kidogo ingekuwa na kaukweli, lakini huyu mr. Dhaifu mr. Dhaifu ni dhaifu hata yeye mwenyewe anaelewa ile alikuwa anapiga tu blabla baishaji , so pathetic.!
 
Waislam watambue kuwa si kwamba wakristo wanashindwa kuchoma misikiti au kwamba ni waoga la hasha bali ni wastaarabu,wanaheshimu na kujali utu na mungu wao si wa visasi na fujo. Tz tuheshimiane.

nimekugingea like....siku zote nasisitiza pia tunajivunia aman tanzania kwa sababu tu....wakristo ni wastaarabu!!!!
 
hakuna kitu hapo

alishaahidi ana list za wauza unga, wala rushwa, majambazi nk. umeshawahi kuona chochote??
Hizo ni propaganda tu baada ya kubinywa papaya
halafu siku JF hii breaking news kama inapoteza maana tu

Post inaakili hii watz wasahaulifu sana
 
Kuna Moderator mmoja anayetupigaga ban za kibwegebwege basi hapo kanuna.

Niliishaongea na Maxence on impartiality of that Mod! Naye amelewa tende na halua hivi mimi kumsupport Salman Rushdie ni kosa la Ban? I hate wale wanaochoma makanisa in the name of Allah ..... Huu ni ukweli
 
Ila watu hawajui ligi! Si wangechukua bible wakakojolea yaishe?

Shosti, hata zaidi ya hayo wamefanya na bado hawaridhiki, tazama vizuri picha za mbagala, utaona kuna picha moja inaonesha biblia ikiwa imesambaratishwa: mshukuruni Bwana.
 
hakuna kitu hapo,ningekuwa mwandishi ht nisingeirusha hiyo hbr maana ni kuongeza hasira za watanzania wenye akili timamu!
 
Back
Top Bottom