Wosio wangu kwa wadogo zangu wa kiume kwenye siku hii ya ukimwi duniani

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
3,776
6,722
Saddy HIV/AIDS day

leo hapa kazini kwetu tunatoa elimu ya ukimwi kwa wanafunzi wa sekondari na vyuoni. nami na mimi niwape elimu hii itawasaidia wadogo zangu.

Ukimwi unapatikana kwenye damu, maji ya ukeni, shahawa tu. japo kwenye mate wapo ila ili kuambukizwa kupitia mate, inabidi unywe lita moja ndo unaweza kupata.

njia ya kuambukizwa kwa watanzania ni uasherati. hasa wale wapenda jicho huko ndo usisema rahisi sana kupata. wakati unataka kufanya mapenzi na mtu vaa kinga ata kama umelewa na kiroba kumbuka kuvaa usiamini mtu. kama huna kondom alafu sasa unapromise, usinyoe nywele za kule chini wala ndevu. hakikisha kwenye lips za mdomo hakuna vidonda. wale kwenye ile mashine yako haina vidonda kabisa. mimi huwa nilikuwa nachukua spirit na pamba kisha najipaka maumivu nikisikia najua sio salama.

wakati wa tendo ukimaliza kakojoe na huko huko osha mashine yako kabisa hivyo vitawasaidia sana
amina
 
Mkuu naona hauwatakii mema vijana, kwahiyo unawashauri watumie "Zuma style"?
 
Asante sana mkuu kwa hiyo elimu nzuri sio wa kiume tu hata wakike wanapaswa kuwa makini na kuepuka ngono zembe..
Kuna homa ya inni huu ugonjwa sio maarufu ila ni hatari klk HIV unaambukizwa km ukimwi unavyoenea ila wenyewe mtu akiumwa anaweza kaa mda mrefu bila dalili zozote..
Tujijali tujichunge
1480596256297.jpg
 
Asante mkuu, sema hapo kwenye kutokunyoa madogo wanaweza wasikuelewe. Maana wanajiandaa wananyoa kipara kabisa.
 
Asante sana mkuu kwa hiyo elimu nzuri sio wa kiume tu hata wakike wanapaswa kuwa makini na kuepuka ngono zembe..
Kuna homa ya inni huu ugonjwa sio maarufu ila ni hatari klk HIV unaambukizwa km ukimwi unavyoenea ila wenyewe mtu akiumwa anaweza kaa mda mrefu bila dalili zozote..
Tujijali tujichungeView attachment 441736

Ntakuja nalo kule jukwaa la utabibu
 
Kweli kabisa nina mdogo wangu ana hii problem... Anatia huruma sana. Kabaki skeleton tu nyama zote kwisha, usiombe yakukute haya.
 
Asante sana kwa ushauri huu wa afya zetu. Elimu ya afya ni upendo uliotukuka. Mungu akubariki Gobe umenifungua ufahamu wangu
 
Kama vijana mnataka kuepukana na huu UKIMWI, acheni kutumia kondom. Hakikisha hufanyi ngono kinyume na maumbile, halafu kama mnafanya ngono kawaida, hakikisheni sehemu za siri za mwenzi wa kike zimelainika au otherwise tumieni vilainishi.
Hapo Ukimwi mtausikia kwenye bomba tu!

Muda mfupi Baada ya tendo jisafisheni sehemu za siri kwa maji safi, kisha mkojoe!

UKIMWI, UTI na magonjwa mengineyo wala hayatapata nafasi.

Na mimi nimetoa wosia kwa vijana wanaoingia kwenye mahusiano.
 
Zuma alitumia iyo staili...ya kuosha dushe ili kujikinga..ndo maana 14% ya South African are HIV positive
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom