Wosia wa Mwalimu kwa watanzania huu hapa

Yaani kweli ww ndio bubusa, aliyasema hayo ili hali akijua hicho kitu kinakuja cha vyama vingi akaamua kuvihukumu na kuvipa laana mapemaaa. Na hii ina maana kuanzia viongozi + wanachama+wapenzi

Nitakuwa wa mwisho kuamini kama kuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kuipigia kura na kuishabikia CCM iliyozaa serekali legelege.

Nitakuwa wa mwisho kuamini kama kuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kuipigia kura na kuishabikia CCM iliyozaa serekali legelege.

Na wengi ndio waliyoitaka sasa na wakaipa mamlaka ya dola 2010 na ndivyo itakavyokuwa 2015, mtalia km mlivyo lia 2010. Tuombe uhai utakuja kuniambia. Nchi hii haiwezekani kuchukuliwa na wapinzania, Tanzania bila CCM haiwezekani labda mtu awe kichaa ndio atakubali hili

Nikikumbuka hii kauli ya Mwalimu Nyerere isemayo 'Mimi nang'atuka lakini naendelea kuamini kuwa bila CCM madhubuti nchi yetu itayumba'.

Wosia wa Mwalimu Agosti 1990 Diamond Jubilee

My take : Kwa wosia huu, Mwalimu aliisha walaani na kuwahukumu wapinzani kuwa katu nchi hii haiwezi kuchukuliwa na wapinzani.
Elewa lugha hizo rangi nyekundu zinaonesha kuwa tayari ilishakosa huo umadhubuti ndio maana inayumbisha taifa kwa sera zisizo na mashiko kama kujivua gamba, mtu kalitia taifa hasara ya mabilioni anaambiwa ajivue gamba hiyo ndiyo ccm muflisi ya leo hebu kumbuka enzi za kina marehemu Sokoine na zoezi la vita dhidi ya wahujumu uchumi watu walizikimbia mali walizozipata kwa wizi leo vioja tupu mtoa rushwa anapewa likizo na malipo mmeisha hamna jipya.

Una akili sana wewe kwa kuwa unasoma btn the lines!

Elewa lugha hizo rangi nyekundu zinaonesha kuwa tayari ilishakosa huo umadhubuti ndio maana inayumbisha taifa kwa sera zisizo na mashiko kama kujivua gamba, mtu kalitia taifa hasara ya mabilioni anaambiwa ajivue gamba hiyo ndiyo ccm muflisi ya leo hebu kumbuka enzi za kina marehemu Sokoine na zoezi la vita dhidi ya wahujumu uchumi watu walizikimbia mali walizozipata kwa wizi leo vioja tupu mtoa rushwa anapewa likizo na malipo mmeisha hamna jipya.

Taratibu za ajira mtu akiwa na tuhuma zinasemaje? acheni kuwa washabiki fuateni sheria.Nyie ndio mnasema watu wafukuzwe , halafu wakienda mahakamani serikali inashindwa, halafu mwaanza oooh serikali sio makini. Taratibu lazima zifuatwe za ajira

Mimi nashauri itungwe sheria ya kuzuia watu wenye akili za kuazima kuwadhibiti dhidi ya kuudhi wenzao kwa makusudi.

Haya ni maudhi ya makusudi.

Nikikumbuka hii kauli ya Mwalimu Nyerere isemayo ‘Mimi nang’atuka lakini naendelea kuamini kuwa bila CCM madhubuti nchi yetu itayumba’.

Wosia wa Mwalimu Agosti 1990 Diamond Jubilee

My take : Kwa wosia huu, Mwalimu aliisha walaani na kuwahukumu wapinzani kuwa katu nchi hii haiwezi kuchukuliwa na wapinzani.

Nikweli kabisa Nyerere alipata kunena haya, bt ccm ya sasa sio madhubuti, haipo sawa thats why nchi inayumba!

Wewe utakuwa kinyume cha genious,eti unasema alijua vyama vya upinzani vinakuja ndio maana aliyasema hayo! Ngoja tukusaidie' Nyerere aliyasema hayo kipindi hicho chama ni kimoja tu hvyo kama ccm ingetoa kiongozi mbovu nchi ingeyumba.Sasa hapa maswala ya wapinzani kulaaniwa yanatoka wapi! Kwa akili yako wewe unaweza kumlaani mtoto ambaye hajazaliwa? Hv kweli wew ni genious? Sasa hebu tujadili hii kauli" ccm itasambaratishwa(uawa) na wanaccm wenyewe" wewe si genious brain hebu sema ukweli wako ukizingatia hali iliyopo ndani ya ccm sasa hv.

Usibishe na wosia wa mwalimu aliisha wahukumu nyie na ww katu huwezi kuwa mwana CCM usitake kupotosha watu humu JF. Labda useme wewe ni bubusa wa wapinzani ntakuelewa

We wajua Politics au gutter Politics? Umechukuwa mawazo yasiyo tizama alama za nyakati kabisa nakupa pole me Ni CCM full damu damu tena nimesomeshwa na hizo hizo pesa za CCM get that nisikupe more details.

Ila wewe usitupotoshe kuwa mwalimu katika huo husia uliwahusu upinzani katu napingana nawe ni CCM ndio walikuwa wanambiwa kumbuka mwalimu alisema CCM sio mama yangu wala baba yangu. wezi niambia ati bila CCM madhubuti ina refer position party chochote kama hakina nguvu kama ya CCM? hapo sitokubali nadhani una stahiri kurudia baadhi ya hotuba za mwalimu ujue vyema mwalimu alikuwa anamaanisha nini me nina hotuba za mwalimu kama library so you cant tel me nothing. ukubali usikubali Mwl. Nyerere alikuwa anakiambia CCM viongozi wake hilo ndilo kweli mkuuu. We wadhania kila mwana CCM ni kama guninita anvyo ongea hovyo hovyo huko ????

Taratibu za ajira mtu akiwa na tuhuma zinasemaje? acheni kuwa washabiki fuateni sheria.Nyie ndio mnasema watu wafukuzwe , halafu wakienda mahakamani serikali inashindwa, halafu mwaanza oooh serikali sio makini. Taratibu lazima zifuatwe za ajira

Ni kuto kuwa makini katika uongozi, serikali yetu hajajipanga kesi zipo za kushinda ila serikali yetu inakosa uzalendo inatafuta jinsi ya kushindwa kesi. mfano mdogo tu na sheria ndio lazima uchunguzi uchukuwe nafasi yake but how long Jailo barua yake imeonekana kasaini na pesa zimetoka je hapo kuna haja ya uchunguzi uchukuwe 4month wakati tukio lenyewe halikuchukwa 5month?

Me nasema kutokuwa na mipangilio mizuri kuzipa taasisi zetu nguvu ya kisheria kufanya kazi ndiko kunaleta haya yote mtu anajichukulia pesa kwakuwa yuko juu huko basi yeye sheria inamlinda sasa nenda we GiniusBrain ukafanye hivyo uone watakukalangija mpaka ukocha

Wa israel wanaishi kwa amani tangia mwaka 1948. Na mpaka sasa katibu mkuu wa UNO hawezi kupata kiti mpaka nchi yake iwe na ubalozi na Israel na kuwapenda wapalestina. Tuwaombee waisrael wazidi kuwa taifa lenye nguvu siku zote.

My Take: Umetupa hiyo habari huku hujui tafsiri yake, Hapo umeona pametajwa CDM,CUF,NCCR,TLP nk??? Wewe ni CCM kweli au ndio nyie vilaza wa vibaraka wa hao mafisadi,

Mwl. Nyerere alisha ona viongozi wa CCM walisha potoka na kuwa na mwelekeo sio mbovu kupindukia walipo pinga tu Azimio la Arusha na badala ya kuomba marekebisho wao wakaja na azimio lao na ndio hii Laana ya Mwl. inawakumba hao Viongozi wa CCM walio kaidi na itawapeleka kubaya sana. Bila CCM Madhubuti nchi itayumba bila kuwa na viongozi waadilifu makini na wazalendo nchi itayumba hapo wewe huja pata jibu kweli au unajaribu pindisha ukweli uwe uongo?
Me ni CCM wa damu ila sitosimama kutetea ujinga UFISADI WA HAWA VIONGOZI WALIPO MADARAKANI AKIJA JK NAMCHANACHANA PIA. na ndio maana tulifanya maamuzi makini mwanza mnji Nyamagana /Ilemela /Ukerewe/Arusha/Hai/Moshi mjn/ Kigoma na kwingineko na ndivyo itakavyo kuwa 2015 kama hao wa magamba hawato toka pia itakuwa ndio hivyo imefika wakati tumechoshwa na sera za wanamtandao ni fake since inthe beginning Mwl.Nyerere alisha wasema hao hawawezi na ndio yametimia wamekuwa ni viongozi wa porojo na uongo sera fake

si mwanachama wa chama chochote; ila CCM wamekuwa wababaishaji...

Back
Top Bottom