Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Anaingiaje kule kwa mfano na ni nyumba ya ukoo. Kwa kichagga lile ni boma la marehemu Mercy na siyo hawara mwingineyo yeyote yule. Ndo maana wakaendaga jenga hukooo japo ndo under IPP. ila pale atapasikia kwenye bomba
Mwananchi - Askofu Mkuu wa KKKT Dk Fredrick Shoo, amesema ...
... KKKT Dk Fredrick Shoo, amesema marehemu Reginald Mengi na mkewe Jacqueline walirudishwa ... hata mkewe hakuzikwa nyumbani kwa Reginald Mengi alizikwa kwao alikozaliwa.
 
Kazi ya jk hiyo ndugu yangu. Ilikua kupooza tu ile vagi. Bila kusema yale unafikiri huyo klyn angejiweza? Kwanza toka mwanzo umafikiri angezika? Hehehe jk shenz sana umetunyima uhondo na headlines huko mataifa. Mke amu.. mumewe hotelini dubei
 
Walikuwa kama mtu na Mke mwenzie hata kwa Harusi mpaka a day before Harusi ndiyo alikuja baada ya watu kumsihi sana,lakini ndoa ilivyoota mbawa Mama wa watu akakamata ndege ya asubuhi akasepa zake kurudi Mwanza,alikuwa anajiweza pia kimaisha maana alikuwa anafanya kazi BOT Mwanza.

Ana mdogo wake anaishi Ukonga wa kike wanaefuatana,ni kama Paka na Panya mahusiano yao. Usimuone kujipost IG,ni mkorofi sana hata kwa Familia yake. Ndugu wengi walimcheka mno baada ya hiyo Skendo ya Ndoa kupaa.
Duh!
Kuna kijana alikuwepo Sana wakati Vick amelazwa pale Tabata alisema ni mdogo wake nadhani alikuwa akiishi nae sinza
 
Kumbuka hapa ndo kwanza jiwe alikua fresh. Alikua hana ujanja wowote. Ama umesahau. Ndo kwanza amekua rais na ameanza kwa mbwembwe. Alikua bado hajaweka sawa rada zake. Na ujiangalia bado watu wa jk walikua wengi kwenye system so jiwe alikua muoga. Jeuri ameianza baada ya kujaza sukuma gang. Na ukiangalia mkwere alikua bado mtoto wa town
Jiwe wa kuogopa yule? Akiwa waziri tu anamuwashia Rais wake sembuse yeye aliposhika urais?
Jiwe alikuwa next level aisee!
Wacha tu washerehekee kifo chake na mkwere akakataza zisichapwe tshirt nyingi na kanga akaagiza faster zichapwe na Samia ili kuvuruga wananchi, bahati mbaya raia hawakujali walijikusanya zao kivyao kwa hisia zao, jiwe ni kiumbe unique kile.
 
Hivi Viki aliolewa lini maana Mimi tangu tangu alipopigwa tukio la ndoa hewa sikuwahi tena kusikia habari zake Hadi juzi Kati hapo alipofiwa na mume..nikajiuliza hee kumbe bi dada aliolewa
Ndoa ya kimyakimya haikuwa na mbwembwe Kama ile ya mamilioni yaliyoyeyuka
 
Ila hawa akina Jack Ni balaa,Tena Jack anayeandika Jacque mwogope Sana,niliwaui nasi kwa mmoja Sasa ndo mmiliki wa Jamstore Afrikasana hakika yule mtoto sitakaa nimsahau hata angeniita Sasa nipo tayari.Nikampata Jack mwingine ,huyu naye anamwaga maji balaa,mi hoiiii.Hawa akina Jack Hawa Mungu atusaidie.
 
Jiwe wa kuogopa yule? Akiwa waziri tu anamuwashia Rais wake sembuse yeye aliposhika urais?
Jiwe alikuwa next level aisee!
Wacha tu washerehekee kifo chake na mkwere akakataza zisichapwe tshirt nyingi na kanga akaagiza faster zichapwe na Samia ili kuvuruga wananchi, bahati mbaya raia hawakujali walijikusanya zao kivyao kwa hisia zao, jiwe ni kiumbe unique kile.
ila hapa background ya malezi ndo tatizo
He was a saddist
 
Haya huko makahaba wanagombea msiba wa mume wa mtu Arusha. Sijui kaka zangu tatizo liko wapi. Ama ni ushirikina kwelj? Inaumizaaa.
Hahahaaaa...yaani wanaume wenye pesa wajifunze jamani kaahh!Magige ,Likwelile,Mengi acha kabisaa...watu wanagombea msiba...
Eti mbunge kafiwa na mchumba kumbe alikua hajaolewa Magige
 
Back
Top Bottom