Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 25,557
- 45,827
Ndo maan mwenda zake akabadilisha mfumo mzima, na kuweka watu wake, mbna taifa zima tulinywea, hata huyo jk kimyaaah, na alifanya kusudi kumuonesha, ila mwenda zake katunyoosha.Na mimi nakumbuka exactly hivi kwamba jk ndo alikua ametoka tu na jiwe ndo ameingia jk akasema hataki kuharibiana as he was just fresh from kustaafu maana he could have done abything hapo kwa lofa kumpigia basi sikujua. Sasa jiwe anakua jeuri that time wakati ikulu imejaa msoga boys kibao... ushamba mzigo sana... ila MAMA SALMA IS A WOMAN WITH HER OWN BO*OBZ yaan ni anamchamba jiwe viizuuriiiiii bila uoga na mawani yake mkavuu tena mitusi mizito mziito
Kumbe wewe ni fundi wa kudanga?!Sasa huyu mwanamke bwege nini? Yaani mungu kakupa uzuri ule alafu kibabu kile kinakugegeda unaambulia ujinga.. idiot! Mie kwa uzuri ule mbona sasa nina billion zangu 5 account imetulia
Hahahahaa yaan dada hasara kweli kweliYani sijui alibwetekea nini,angewez kuwa nazo hata Majumba matatu location tofauti,sasa hivi angehamia kwa moja ya Mjengo wake akatulia tuli akisikilizia sarakasi za mirathi. Wewe unakwenda unabweteka kabisa kwa Jumba ulilolikuta, tena unastarehe utadhani ulichangia hata msumari wa kujegea hilo jumba.
AiseeVitu vyake vya shule na foundation yake vilizuiwa kutoka bandarini kwa sababu ya kodi, akampigia kamishna wa TRA na kamishna akamwambia amuombe jiwe , mama akampigia jiwe kumuomba Kua hivi ni vitu vya msaada jiwe akamwambia njoo ikulu tutamaliza
kufika Ikulu jiwe akambadilikia Kua alipe kodi hata kama ni vitu vya Elimu,kwa Kua kwenye Simu hakumuelewa mama ndio akamchamba jiwe vizuri kabisa
Eeh long time ni mtu wa matukio
Mie napenda wanawake wanaodanga...they just using what god has given them to make a living.Kumbe wewe ni fundi wa kudanga?!
Hahaha unajua kuna time huwa nachokaaa kabisaaa. Unajua maybe alijisemea hawa wamachame wanajikutaga wamepinda sasa nitawaonyesha basi ndo hivyo waanameonyeshaAwali ni awali tu ndugu yangu,wanasema hakuna awali mbovu. Ukijitia ukauzu wa kuwa mke wa pili,ukubali siku zote kuwa underdog. Lakini ukijifanya na wewe ni Mama lao,utishia kuwa kama mjane wa Taifa.
safii kabisaaa..Ndo maan mwenda zake akabadilisha mfumo mzima, na kuweka watu wake, mbna taifa zima tulinywea, hata huyo jk kimyaaah, na alifanya kusudi kumuonesha, ila mwenda zake katunyoosha.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Another victimMkapa ndiye aliyeingilia suala lile na kusuruhisha, jk hakumuweza mwendazake kamweeh,
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Na kwa mazingira aliyojitengenezea sidhani hata kama anahamu ya kwenda kwa lile Jumba la Machame tena kwa sasa. Hata kama wanamwachia aishi. Aliyemdanganya kughushi WILL alimpoteza sana.
Na mimi nakumbuka exactly hivi kwamba jk ndo alikua ametoka tu na jiwe ndo ameingia jk akasema hataki kuharibiana as he was just fresh from kustaafu maana he could have done abything hapo kwa lofa kumpigia basi sikujua. Sasa jiwe anakua jeuri that time wakati ikulu imejaa msoga boys kibao... ushamba mzigo sana... ila MAMA SALMA IS A WOMAN WITH HER OWN BO*OBZ yaan ni anamchamba jiwe viizuuriiiiii bila uoga na mawani yake mkavuu tena mitusi mizito mziito
Yani sijui alibwetekea nini,angewez kuwa nazo hata Majumba matatu location tofauti,sasa hivi angehamia kwa moja ya Mjengo wake akatulia tuli akisikilizia sarakasi za mirathi. Wewe unakwenda unabweteka kabisa kwa Jumba ulilolikuta, tena unastarehe utadhani ulichangia hata msumari wa kujegea hilo jumba.
Wanaume wq kwenda kulala kwa mwanamke sio wazima.....watakuwa Marioo haoNa mabwana zake wanafikia hapo hapo wanalala kitanda cha marehemu , Yule hajui matambiko ya uchagani sasa hivi atavaa chupi kichwani huo umalaya angeufanyia mbali
ila ile ya ndoa ilimpa break down.Eeh long time ni mtu wa matukio
Itakua ile ya "wastaafu wana washwa washwa" ilikua kijembe kwa Jksafii kabisaaa..
Jk anahusikaje kwenye hiliJk ndo anazingua hapa na wema wake na ustaarabu hili kahana lina mengi yanamuelemea basi tu watanzania ni wakarimu