Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Na mimi nakumbuka exactly hivi kwamba jk ndo alikua ametoka tu na jiwe ndo ameingia jk akasema hataki kuharibiana as he was just fresh from kustaafu maana he could have done abything hapo kwa lofa kumpigia basi sikujua. Sasa jiwe anakua jeuri that time wakati ikulu imejaa msoga boys kibao... ushamba mzigo sana... ila MAMA SALMA IS A WOMAN WITH HER OWN BO*OBZ yaan ni anamchamba jiwe viizuuriiiiii bila uoga na mawani yake mkavuu tena mitusi mizito mziito
Ndo maan mwenda zake akabadilisha mfumo mzima, na kuweka watu wake, mbna taifa zima tulinywea, hata huyo jk kimyaaah, na alifanya kusudi kumuonesha, ila mwenda zake katunyoosha.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Yani sijui alibwetekea nini,angewez kuwa nazo hata Majumba matatu location tofauti,sasa hivi angehamia kwa moja ya Mjengo wake akatulia tuli akisikilizia sarakasi za mirathi. Wewe unakwenda unabweteka kabisa kwa Jumba ulilolikuta, tena unastarehe utadhani ulichangia hata msumari wa kujegea hilo jumba.
Hahahahaa yaan dada hasara kweli kweli
 
Vitu vyake vya shule na foundation yake vilizuiwa kutoka bandarini kwa sababu ya kodi, akampigia kamishna wa TRA na kamishna akamwambia amuombe jiwe , mama akampigia jiwe kumuomba Kua hivi ni vitu vya msaada jiwe akamwambia njoo ikulu tutamaliza

kufika Ikulu jiwe akambadilikia Kua alipe kodi hata kama ni vitu vya Elimu,kwa Kua kwenye Simu hakumuelewa mama ndio akamchamba jiwe vizuri kabisa
Aisee
 
Awali ni awali tu ndugu yangu,wanasema hakuna awali mbovu. Ukijitia ukauzu wa kuwa mke wa pili,ukubali siku zote kuwa underdog. Lakini ukijifanya na wewe ni Mama lao,utishia kuwa kama mjane wa Taifa.
Hahaha unajua kuna time huwa nachokaaa kabisaaa. Unajua maybe alijisemea hawa wamachame wanajikutaga wamepinda sasa nitawaonyesha basi ndo hivyo waanameonyesha
 
Mkapa ndiye aliyeingilia suala lile na kusuruhisha, jk hakumuweza mwendazake kamweeh,

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Another victim
Screenshot_20210525-193426.jpg
Screenshot_20210525-193419.jpg
 
Na kwa mazingira aliyojitengenezea sidhani hata kama anahamu ya kwenda kwa lile Jumba la Machame tena kwa sasa. Hata kama wanamwachia aishi. Aliyemdanganya kughushi WILL alimpoteza sana.

Kwanza Ana hela ya maintenance ? Ya nyumba ya kinonodoni na hile ya machame ? Huwezo Hana zile ni hotel sio nyumba
 
Na mimi nakumbuka exactly hivi kwamba jk ndo alikua ametoka tu na jiwe ndo ameingia jk akasema hataki kuharibiana as he was just fresh from kustaafu maana he could have done abything hapo kwa lofa kumpigia basi sikujua. Sasa jiwe anakua jeuri that time wakati ikulu imejaa msoga boys kibao... ushamba mzigo sana... ila MAMA SALMA IS A WOMAN WITH HER OWN BO*OBZ yaan ni anamchamba jiwe viizuuriiiiii bila uoga na mawani yake mkavuu tena mitusi mizito mziito

alimsumbua kutoka TRA Mpaka ikulu anafika kule anamwambia kalipe kodi hatukuelewana, alimsumbua hata me nakuchamba
 
Yani sijui alibwetekea nini,angewez kuwa nazo hata Majumba matatu location tofauti,sasa hivi angehamia kwa moja ya Mjengo wake akatulia tuli akisikilizia sarakasi za mirathi. Wewe unakwenda unabweteka kabisa kwa Jumba ulilolikuta, tena unastarehe utadhani ulichangia hata msumari wa kujegea hilo jumba.

Na mabwana zake wanafikia hapo hapo wanalala kitanda cha marehemu , Yule hajui matambiko ya uchagani sasa hivi atavaa chupi kichwani huo umalaya angeufanyia mbali
 
Back
Top Bottom