Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

miss pablo

JF-Expert Member
Jul 9, 2018
3,337
2,000
Awali ni awali tu ndugu yangu,wanasema hakuna awali mbovu. Ukijitia ukauzu wa kuwa mke wa pili,ukubali siku zote kuwa underdog. Lakini ukijifanya na wewe ni Mama lao,utishia kuwa kama mjane wa Taifa.
Hahaha unajua kuna time huwa nachokaaa kabisaaa. Unajua maybe alijisemea hawa wamachame wanajikutaga wamepinda sasa nitawaonyesha basi ndo hivyo waanameonyesha
 

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
23,941
2,000
Mkapa ndiye aliyeingilia suala lile na kusuruhisha, jk hakumuweza mwendazake kamweeh,

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Another victim
Screenshot_20210525-193426.jpg
Screenshot_20210525-193419.jpg
 

Mimi.

JF-Expert Member
Sep 7, 2011
1,520
2,000
Na kwa mazingira aliyojitengenezea sidhani hata kama anahamu ya kwenda kwa lile Jumba la Machame tena kwa sasa. Hata kama wanamwachia aishi. Aliyemdanganya kughushi WILL alimpoteza sana.

Kwanza Ana hela ya maintenance ? Ya nyumba ya kinonodoni na hile ya machame ? Huwezo Hana zile ni hotel sio nyumba
 

Mimi.

JF-Expert Member
Sep 7, 2011
1,520
2,000
Na mimi nakumbuka exactly hivi kwamba jk ndo alikua ametoka tu na jiwe ndo ameingia jk akasema hataki kuharibiana as he was just fresh from kustaafu maana he could have done abything hapo kwa lofa kumpigia basi sikujua. Sasa jiwe anakua jeuri that time wakati ikulu imejaa msoga boys kibao... ushamba mzigo sana... ila MAMA SALMA IS A WOMAN WITH HER OWN BO*OBZ yaan ni anamchamba jiwe viizuuriiiiii bila uoga na mawani yake mkavuu tena mitusi mizito mziito

alimsumbua kutoka TRA Mpaka ikulu anafika kule anamwambia kalipe kodi hatukuelewana, alimsumbua hata me nakuchamba
 

Mimi.

JF-Expert Member
Sep 7, 2011
1,520
2,000
Yani sijui alibwetekea nini,angewez kuwa nazo hata Majumba matatu location tofauti,sasa hivi angehamia kwa moja ya Mjengo wake akatulia tuli akisikilizia sarakasi za mirathi. Wewe unakwenda unabweteka kabisa kwa Jumba ulilolikuta, tena unastarehe utadhani ulichangia hata msumari wa kujegea hilo jumba.

Na mabwana zake wanafikia hapo hapo wanalala kitanda cha marehemu , Yule hajui matambiko ya uchagani sasa hivi atavaa chupi kichwani huo umalaya angeufanyia mbali
 

August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
7,299
2,000
Anaingiaje kule kwa mfano na ni nyumba ya ukoo. Kwa kichagga lile ni boma la marehemu Mercy na siyo hawara mwingineyo yeyote yule. Ndo maana wakaendaga jenga hukooo japo ndo under IPP. ila pale atapasikia kwenye bomba
Mwananchi - Askofu Mkuu wa KKKT Dk Fredrick Shoo, amesema ...
... KKKT Dk Fredrick Shoo, amesema marehemu Reginald Mengi na mkewe Jacqueline walirudishwa ... hata mkewe hakuzikwa nyumbani kwa Reginald Mengi alizikwa kwao alikozaliwa.
 

miss pablo

JF-Expert Member
Jul 9, 2018
3,337
2,000
Mwananchi - Askofu Mkuu wa KKKT Dk Fredrick Shoo, amesema ...
... KKKT Dk Fredrick Shoo, amesema marehemu Reginald Mengi na mkewe Jacqueline walirudishwa ... hata mkewe hakuzikwa nyumbani kwa Reginald Mengi alizikwa kwao alikozaliwa.
Kazi ya jk hiyo ndugu yangu. Ilikua kupooza tu ile vagi. Bila kusema yale unafikiri huyo klyn angejiweza? Kwanza toka mwanzo umafikiri angezika? Hehehe jk shenz sana umetunyima uhondo na headlines huko mataifa. Mke amu.. mumewe hotelini dubei
 

Avriel

JF-Expert Member
Jun 25, 2017
4,190
2,000
Walikuwa kama mtu na Mke mwenzie hata kwa Harusi mpaka a day before Harusi ndiyo alikuja baada ya watu kumsihi sana,lakini ndoa ilivyoota mbawa Mama wa watu akakamata ndege ya asubuhi akasepa zake kurudi Mwanza,alikuwa anajiweza pia kimaisha maana alikuwa anafanya kazi BOT Mwanza.

Ana mdogo wake anaishi Ukonga wa kike wanaefuatana,ni kama Paka na Panya mahusiano yao. Usimuone kujipost IG,ni mkorofi sana hata kwa Familia yake. Ndugu wengi walimcheka mno baada ya hiyo Skendo ya Ndoa kupaa.
Duh!
Kuna kijana alikuwepo Sana wakati Vick amelazwa pale Tabata alisema ni mdogo wake nadhani alikuwa akiishi nae sinza
 

Avriel

JF-Expert Member
Jun 25, 2017
4,190
2,000
Kumbuka hapa ndo kwanza jiwe alikua fresh. Alikua hana ujanja wowote. Ama umesahau. Ndo kwanza amekua rais na ameanza kwa mbwembwe. Alikua bado hajaweka sawa rada zake. Na ujiangalia bado watu wa jk walikua wengi kwenye system so jiwe alikua muoga. Jeuri ameianza baada ya kujaza sukuma gang. Na ukiangalia mkwere alikua bado mtoto wa town
Jiwe wa kuogopa yule? Akiwa waziri tu anamuwashia Rais wake sembuse yeye aliposhika urais?
Jiwe alikuwa next level aisee!
Wacha tu washerehekee kifo chake na mkwere akakataza zisichapwe tshirt nyingi na kanga akaagiza faster zichapwe na Samia ili kuvuruga wananchi, bahati mbaya raia hawakujali walijikusanya zao kivyao kwa hisia zao, jiwe ni kiumbe unique kile.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom