Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Jiwe ameapishwa week Ya kwanza ya uraisi akiwa fresh na akaanza kuonesha true colors January na Nape kwa Kua walimsaidia kwenye kampeni zake waliomba appointment kwenda kumpongeza

jiwe aligoma hakutaka yoyote asogee ikulu zaidi ya watu wake na wakina bulembo
ilaa jamanii
 
Under IPP haina jina lake , wana nyumba nyingi za mama Yao first family nyumba magari ni vitu vidogo kwao na ndio maana walimpa magari yote wanaweza wakamuachia nyumba ya machame aishi lakini sio kuuza au kuchezesha
Yes. Unafikiri hata wangemwachia ana jeuri ya kuzifanyia hizo service majumba na magari? Ila mengi kiboko jamani what a slap in the face imagine unaishi kwenye mjengo ila si wako alishindwa mchuna ajenge limanssion lake huko bunju ufukwenj?
 
Na kwa mazingira aliyojitengenezea sidhani hata kama anahamu ya kwenda kwa lile Jumba la Machame tena kwa sasa. Hata kama wanamwachia aishi. Aliyemdanganya kughushi WILL alimpoteza sana.
Imagine Christmas wenzako wana hekaheka zao balaa wewe unaenda kula sikukuu peke yako msituni huko na manyani. Kweli alishindwa kula na kipofu december apokelewe kwa masham masham. Ila mimi jaman uchaggani hapana. Nikajua huyu mwanaume alishaoaga mke wake hata kama hawakuchuma mali sitaki. Yaan mke wa kwanza tena wa ndoa ya kanisa is everything. No basi tu kuwe na scenarios zikubebe wife number two. Ona mama mercy mbali na kwamba waliachana lakini bado anaheshimika mpk sasa angali hayuko hai. Pooh mbaka
 
Loh mengi nae alimfanyia ukauzu.mbona hajamfanyia chochote cha maana ?? Hata mjengo ule ???

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app

Umeona eeeh! Sasa hivi ndiyo naelewa Mzee alikuwa zaidi ya kauzu,huenda hata ile WILL alisign makusudi huku akijua atagonga mwamba,kama kweli Mzee alitaka kumpa angeweza kumwekea mazingira mazuri sana yasiyotia shaka katika sehemu ya Mirathi. Ona sasa Mjane anajikuta kakosa kila kitu. Yes,atapata lakini si kwa dreams alizokuwa nazo kichwani mwake. Ashukuru walau alizaa Watoto ambao watapata uhakika wa urithi.
 
Yaani Ni wale wanaume anakukula anakutumia hela kwenye simu then anapiga simu kwenye kampuni kakosea muamala
Hakutaka kumpa kitu angempa bila kuacha mzozo.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Yes. Unafikiri hata wangemwachia ana jeuri ya kuzifanyia hizo service majumba na magari? Ila mengi kiboko jamani what a slap in the face imagine unaishi kwenye mjengo ila si wako alishindwa mchuna ajenge limanssion lake huko bunju ufukwenj?

Yani sijui alibwetekea nini,angewez kuwa nazo hata Majumba matatu location tofauti,sasa hivi angehamia kwa moja ya Mjengo wake akatulia tuli akisikilizia sarakasi za mirathi. Wewe unakwenda unabweteka kabisa kwa Jumba ulilolikuta, tena unastarehe utadhani ulichangia hata msumari wa kujegea hilo jumba.
 
Imagine Christmas wenzako wana hekaheka zao balaa wewe unaenda kula sikukuu peke yako msituni huko na manyani. Kweli alishindwa kula na kipofu december apokelewe kwa masham masham. Ila mimi jaman uchaggani hapana. Nikajua huyu mwanaume alishaoaga mke wake hata kama hawakuchuma mali sitaki. Yaan mke wa kwanza tena wa ndoa ya kanisa is everything. No basi tu kuwe na scenarios zikubebe wife number two. Ona mama mercy mbali na kwamba waliachana lakini bado anaheshimika mpk sasa angali hayuko hai. Pooh mbaka

Awali ni awali tu ndugu yangu,wanasema hakuna awali mbovu. Ukijitia ukauzu wa kuwa mke wa pili,ukubali siku zote kuwa underdog. Lakini ukijifanya na wewe ni Mama lao,utishia kuwa kama mjane wa Taifa.
 
Acha kabisa ilikuwa aibu kubwa sana,kuna Wageni walikuja kwa Harusi kutoka Mwanza tunafahamiana,baada ya Harusi kupaa walikuja nyumbani kusimulia,ni kweli kabisa ilibidi litengenezwe tukio la uongo la yeye kulazwa ili kuficha aibu ile na inasemekana alikuwa na kibendi cha Bwana Harusi tapeli aliitwa Charles Pai.Kibendi kiliishia wapi,nadhani na yeye hakutaka kubaki na alama ya maisha ya yule Tapeli

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Ukijaribu kusearch utaipata thread iliyoongelea hilo tukio. Nakumbuka walisema ni Mkapa na Kardinal Pengo ndiyo waliweka mambo sawa,baada ya Mkwere kugonga ukuta. Ilibidi Mkwere awaombe,Jiwe hakuwa na utani pale alipoamua kitu.
Na ndio kilichokuwepo, mwendazake baada ya kukabidhiwa ilan kuipeperusha bendera, akaanza kufanya yake, siku ya campaign chalinze si aliwaumbua jk na riz1 wake hadharan mbele ya wapiga kura,

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Jiwe ameapishwa week Ya kwanza ya uraisi akiwa fresh na akaanza kuonesha true colors January na Nape kwa Kua walimsaidia kwenye kampeni zake waliomba appointment kwenda kumpongeza

jiwe aligoma hakutaka yoyote asogee ikulu zaidi ya watu wake na wakina bulembo
Jiwe alianza baada ya kushinda uchaguzi waa ndani, kwenye campaign mbna alikua anawananga hadharan jk na riz1 tena pale chalinze,

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom