Kama sote tunakubaliana haya maneno ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere ni unabii, then tusilalamike, wala tusimlalamikie Dikiteta, kwasababu sii yeye.Inabidi unabii utimie. Ni aibu sana kwa taifa letu. Suluhu ni kudai katiba bora.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Prof. Kabudi kasema tusilalamike. Tukae kimya.Kama sote tunakubaliana haya maneno ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere ni unabii, then tusilalamike, wala tusimlalamikie Dikiteta, kwasababu sii yeye.
Hata kwa Yuda Eskarioti japo alimsaliti Bwana wetu Yesu Kristo, ilikuwa sii yeye bali alitumiwa tuu ili unabii utimie.
Kwa vile kauli huumba, then kuna uwezekano huu udikiteta uliopo haukujiumba, umeumbwa, na aliye uumba ni aliyetoa kauli hii yenye kuumba.
Kauli huumba! Je, ni kweli Magufuli ni dikiteta? Kama ni kweli, ni kosa la nani kati yake na aliyetoa kauli hii? - JamiiForums
P