wosia kwa polisi "akili za kuambiwa, changanya na za kwako" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wosia kwa polisi "akili za kuambiwa, changanya na za kwako"

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mangaline, Jun 28, 2012.

 1. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kutokana na asili ya kazi za ki polisi, za kutumwa na kutekeleza bila kuhoji, zinaendelea kujenga hisia mbaya katika jamii, ambapo sasa polisi wanaanza kuwa adui kwa raia. Kipigo na mateso aliyopata Dr. Uli, yameonesha jinsi ambavyo jamii inaendelea kuwa na mtazamo hasi dhidi ya polisi, hata kama yawezekana tendo hilo halikutendwa na polisi. Kutokana na mwenendo huo, kuna wasiwasi kuwa iko siku, polisi watatengwa na jamii, na kwa kuwa polisi hao tunaishi nao, yawezekana wakapata shida huko uraiani, hii ikiwa ni pamoja na familia zao.

  WAZO LANGU:
  akili za kuambiwa, changanyeni na za kwenu, kwa kuwa familia zenu muendapo kazini, mnaziacha huku uraiani, la sivyo, iko siku mtakuta wananchi wanaojiita eti wana hasira kali, wamezishukia familia zenu na kuonesha hasira zao kwenye familia zenu.
  "MUNGU IBARIKI TANGANYIKA, MUNGU IBARIKI ZANZIBARI, RIP TANZANIA"
   
 2. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,278
  Likes Received: 8,359
  Trophy Points: 280
  akili za polisi wa kitanzania ni kama za ma-robot.wanacho jali ni kutekeleza maagizo ya mabwana zao.hawatafakari kabla ya kuteleza amri/agizo.
   
 3. F

  Froida JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Kwenye la Dr Ulimboka Polisi hawakuhusika ni Usalama wa Taifa
   
 4. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tusiwe wepesi wa kuhukumu kabla ya tafiti. tuchunguze kwanza, ili tupate uhakika.
   
 5. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #5
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  We vipi? This is a serious problem kwa Taifa,wewe unaandika nonsense. Polisi,[Suleiman Kova],amesema anawasaka waliompiga Dr. Ulimboka,wewe unauliza kwa nini polsi wamemshambulia Dr. Ulimboka.
   
 6. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hawa hawa polisi wa tanzania ????? hawa hawa wanaopenda misifa ya kijinga????? hawa hawa???? wanaoabudu viongozi wa ccm na kuwaona kama miungu watu????
   
 7. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Wewe ni polisi eeh?
   
 8. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Inaumiza sana hasa kama akili ya huyu mtoa amri roho yake ni ya kinyama basi watu wataumizwa sana bila sababu.
   
 9. k

  kamili JF-Expert Member

  #9
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 714
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  itachukua miaka kadhaa kabla taarifa haijatoka, na siku ikitoka itasema alijipiga mwenyewe!!!!!!
   
 10. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #10
  Jun 28, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Usiwe na akili za Mende huhitaji uchunguzi kujua Usalama wa Kikwete ndiyo walio mpiga Dr Ulimboka...
   
 11. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #11
  Jun 28, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Punguza jaziba ndugu yangu, kwa hili dogo unang'aka hivyo (hapo kwenye red) , je kwenye makubwa itakuwaje?????? Katika suala la mabadiliko ya kijamii, kunahitajika kuvumiliana, pamoja na kuchukuliana kwa upole. Mungu akuhurumie!!!!
   
 12. Root

  Root JF-Expert Member

  #12
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,242
  Likes Received: 12,962
  Trophy Points: 280
  Police huwa wanafuata maelekezo wanayopewa,hata UWT pia hufuata maelekezo wanayopewa kazi yao ni kuitetea serikali na kufanya kila wawezalo ili serikali isidhurike.
   
Loading...