Wosia kutoka team X kwa wenye Dola

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,188
11,219
Huu ni wosia Mzito kutoka team X team yakuhakikisha CCM anabaki kwenye Dola miaka inayo au laa mbeleni wategemee kugawana fito.

Na hii ni baada yakuonekana uchaguzi wa mwaka huu 2020 wenye Dola wanataka kuikamata Dola kisawa sawa Yani ni ccm mwanzo mwisho. Ila wenye akili wakatoa haya.

Mnaweza shangilia Kwa furaha kubwa Mme kamata Dola 99% Ila nilazima mjuwe watanzania Wana akili na kwakuwa kweli tuna Dola watakaa kimya Ila chuki itakuwa Kwa kiwango kikubwa nje Jambo litatishia uwepo wa chama na Amani ya nchi.

Tunaweza kumfanya Rais ashinde hata Kwa asilimia 99% watu wanaweza kuelewa kiasi Ila mkigusa kwenye wabunge aka majimbo nakupandikiza wabunge Ambao Kura hazikuwatosha fukuto litakuwa kubwa kwenye majimbo Jambo litaleta upingwaji mkubwa wa chama uchaguzi ujao.

Tatu, Jambo lingine la hatari ikiwa tutafunga goli la mkono kwenye majimbo ya ubunge basi tuniandae Kwa mpasuko mkubwa kwenye majimbo na vurugu ambazo ukiziangalia kwakuwa zitakuwa ni za majimbo zaweza badilika na Kuwa za kitaifa why umewaunganisha kimajimbo mfano hapa DSM ukiwapokonya upinzani majimbo wanayaongoza Kwa kutumia Dola basi ujuwe unaiunganisha dar kwenye vurugu jambo ungelizuwia Kwa kutangaza mahindi upinzani kwenye ubunge wakati kwenye urais unamtangaza CCM.

Hivyo nilazima mkae mkijuwa ushindi wa chama chetu CCM usiwe wa term moja ukatupa KAZI ngumu 2025. Nadhani sote ninmashahidi ya kile kinaendelea ZNZ na hatupaswi kubeza na kufikiri watanzania ni Wajomba.
 
kawatishe mkeo na watoto wako kama unao lakini.
 
Lisu anaongoza kutokana na habari za wanaotoka kupiga kura maana nje si siri tena unasema uliempigia bila ya kuogopa hakuna aliesema amempigia CCM.
Zanzibar kila unaemuuliza anakwambia ccm wakatafute kazi zingine wafanye uongozi hauwafai.
 
Uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 karibu wote ni ccm. Na maisha yanaendelea tu

Haya wanayofanya "WATAWALA" ni dhahiri nchi hii katika kipindi cha 2020 - 2025 tutashuhudia watu kuuliwa na kupotea zaidi. Nchi haitatulia na kutawaliwa kirahisi kwasababu watawala hawakubaliki ndani na nje ya nchi, itabidi itawaliwe kwa mabavu za ziada.

Tunapoelekea ni njia waliopita Zimbabwe ya Mugabe, ila njia yetu itakua mbaya zaidi. Kosa alilofanya Mugabe ni kuwafukuza mabeberu ila hakuwatibua raia wake (Kibano walichopata Zimbabwe ndio kikawageuza raia wamchukie rais wao), ila sisi watawala wanawa dhihaki na kuwatukana na kuwatunishia misuli "MABEBERU pamoja na RAIA".

Jambo litakalopelekea machafuko kuanza, na Jiwe hatomaliza miaka 5 kama atachukua nchi kwa nguvu.
 
Lisu anaongoza kutokana na habari za wanaotoka kupiga kura maana nje si siri tena unasema uliempigia bila ya kuogopa hakuna aliesema amempigia CCM.
Zanzibar kila unaemuuliza anakwambia ccm wakatafute kazi zingine wafanye uongozi hauwafai.
Toa ujinga wako hapa!
 
CCM ya Magufuli ni alfa na omega kwa sasa sidhani kama wanaweza kukusikia ktk hili ,kuna Mtu anapenda Sifa huyo akishindishwa na CCM kwa 99% atafurahi sana na kwake atauona huo ndio ukweli.
 
Ciril 💚💛💚💛💚
 
Back
Top Bottom