world's most dirtiest cities. 16 in Africa including dar es salaam

Nairoberry

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
933
525
14 Dec 2013, 05:36
Why Africa’s Cities Are The Dirtiest In The
World?
Of the world’s 25 dirtiest cities, 16 of them
are in Africa. Well, at least that was the story
when Forbes magazine did a report on the “25
Most Dirtiest Cities In The World” based on the
Mercer Health and Sanitation Index Score
(http://www.forbes.com/2008/02/24/pollut ...
ide_2.html
).
This was the world dirty city league table
drawn by Forbes:
1. Baku, Azerbaijan
2. Dhaka, Bangladesh
3. Antananarivo, Madagascar
4. Port au Prince, Haiti
5. Mexico City, Mexico
6. Addis Ababa, Ethiopia
7. Mumbai, India
8. Baghdad, Iraq
9. Almaty, Kazakhstan
10. Brazzaville, Congo
11. Ndjamena, Chad
12. Dar es Salaam, Tanzania
13. Bangui, Central African Republic
14. Moscow, Russia
15. Ouagadougou, Burkina Faso
16. Bamako, Mali
17. Pointe Noire, Congo
18. Lome, Togo
19. Conakry, Guinea Republic
20. Nouakchott, Mauritania
21. Niamey, Niger
22. Luanda, Angola
23. Maputo, Mozambique
24. New Delhi, India
25. Port Harcourt, Nigeria
=======================
Cleanest African Cities:
1. Cape Town, South Africa.
2. Windhoek, Namibia
3. Kigali, Rwanda
4. Asmara, Eritrea
5. Victoria, Seychelles
6. Pretoria, South Africa
7. Pietermaritzburg, South Africa
8. Port Louis, Mauritius
9. Nairobi, Kenya
10. Victoria Falls, Zimbabwe
 
Nashangaa sana kama Nairibi eti nayo ni mji msafi. Huu ni uongo wa mchana kabisa.

hahahahahah!! only blind people or those never beei in Naii can second this motion.. Huwezi sema Nairobi ni safi kuliko Dar es salaam. Sehemu kubwa ya Nairobi ni uswazi, masikini wa kutupwa na wachafu wa kupindukia km kibera.. Ni maeneo machache sana kuna usafi kama buruburu..

Dar, uswazi ni sehemu ndogo sana, zilizobaki pako pouwa na pamepangwa..

Tatizo la wakenya ni kupenda kusifiwa na data za magharibi. Hawajui wanapewa sifa za kijinga na mabepari wanaopora resources zao (wengi ndo investor hapo) na kuwaacha watumwa wa uchumi wao!
 
Am glad my city nairobi has featured prominently, jamaa hapa wamebaki kukomaa na Kibera, yanayo ongelewa ni kuhusu usafi sio uswazi. Unaweza ishi ghetto lakini udumishe usafi.
 
Jamaa wa Bongo wako in denial, kila kitu kuhusu Kenya wanakuja hapa kupinga,. Wanadhani nairobi ni Kibera, Mathare na Dandora peke yake, nimeishi Dar sanaaaaa na hata chembe moja ya dar haikaribii Nairobi. Give props where due bruh, acceptance is the first step in making a change na wengi wenyu hamkubali kua kenya na shida zetu zote na kukosa madini bado tunawashinda hands down kwa kila kitu isipokua uganga, uvivu na kuimba miziki ya kishenzi.
 
Jamaa wa Bongo wako in denial, kila kitu kuhusu Kenya wanakuja hapa kupinga,. Wanadhani nairobi ni Kibera, Mathare na Dandora peke yake, nimeishi Dar sanaaaaa na hata chembe moja ya dar haikaribii Nairobi. Give props where due bruh, acceptance is the first step in making a change na wengi wenyu hamkubali kua kenya na shida zetu zote na kukosa madini bado tunawashinda hands down kwa kila kitu isipokua uganga, uvivu na kuimba miziki ya kishenzi.

punguza hasira mkuu.....kwikwikwiwiwiwi.
 
Nimeona hiyo orodha.... lakini vitu vinavyoneshwa kwenye picha kuwa Dar si safi wala havina mashiko.....
 
Kichwa cha habari mbona tofauti na malumbano yenu?chuki ya nn vijana?Wekeni heshima mbele baina ya nchi zenu.Sioni sababu ya kuchukiana.Aliyetoa mada kataja miji kibao sikuona kama ni miji ya Afrika ya mashariki tu lakini mujue aliyetangulia katangulia hata ufanye nini kuanza elewa Nairobi ndo palikuwa makao makuu ya waingereza kwa hiyo palijengeka kabla ya Dar.Mfano ukiyatembelea maeneo kama ya westlands,lang'ata,Thika highway,city center,kileleshwa,ngong' n.k sijui utapafananisha na wapi hapa kwetu?Sehemu pachafu ni padogo sana.Halafu ujue Nairobi ni mara 2 ya Dar ukubwa wake yani kuanzia chalinze hadi baharini.mm nimezurura sana humo toka miaka ya 78 nikiwa mtoto hadi leo.Kwahiyo ninawaomba musidharauliane vijana Jengeni nchi zenu.Simtetei mtu ila ninawaelewesheni.
 
Back
Top Bottom