world's most dirtiest cities. 16 in Africa including dar es salaam

Jamaa wa Bongo wako in denial, kila kitu kuhusu Kenya wanakuja hapa kupinga,. Wanadhani nairobi ni Kibera, Mathare na Dandora peke yake, nimeishi Dar sanaaaaa na hata chembe moja ya dar haikaribii Nairobi. Give props where due bruh, acceptance is the first step in making a change na wengi wenyu hamkubali kua kenya na shida zetu zote na kukosa madini bado tunawashinda hands down kwa kila kitu isipokua uganga, uvivu na kuimba miziki ya kishenzi.

Baada ya kusoma sehemu yenye red nimegundua ni mtu wa namna gani, I had to do nothing but underestimate your comment.
 
Majiji yenye watu wengi yana changamoto kubwa za kukabiliana na uchafu unaozalishwa ukilinganisha na majiji yenye population ndogo. Mfano mzuri ni jiji la Mumbai, lina watu wengi kuliko watu wote wanaoishi Tanzania nzima. Sijasema uchafu ni lazima uwepo kwenye population kubwa, ila changamoto zinakuwa nyingi zaidi
 
Jamaa wa Bongo wako in denial, kila kitu kuhusu Kenya wanakuja hapa kupinga,. Wanadhani nairobi ni Kibera, Mathare na Dandora peke yake, nimeishi Dar sanaaaaa na hata chembe moja ya dar haikaribii Nairobi. Give props where due bruh, acceptance is the first step in making a change na wengi wenyu hamkubali kua kenya na shida zetu zote na kukosa madini bado tunawashinda hands down kwa kila kitu isipokua uganga, uvivu na kuimba miziki ya kishenzi.
Baada ya kusoma sehemu yenye red nimegundua ni mtu wa namna gani, I had to do nothing but underestimate your comment.
Yeah, hata mimi nilidhani tuna.share experience za mazuri na mabaya, lakini nimegundua jamaa sio mstaarabu sana ukilinganisha na mwenzake Ab-Titchaz
 
14 Dec 2013, 05:36
Why Africa's Cities Are The Dirtiest In The
World?
Of the world's 25 dirtiest cities, 16 of them
are in Africa. Well, at least that was the story
when Forbes magazine did a report on the "25
Most Dirtiest Cities In The World" based on the
Mercer Health and Sanitation Index Score
(http://www.forbes.com/2008/02/24/pollut ...
ide_2.html
).
This was the world dirty city league table
drawn by Forbes:
1. Baku, Azerbaijan
2. Dhaka, Bangladesh
3. Antananarivo, Madagascar
4. Port au Prince, Haiti
5. Mexico City, Mexico
6. Addis Ababa, Ethiopia
7. Mumbai, India
8. Baghdad, Iraq
9. Almaty, Kazakhstan
10. Brazzaville, Congo
11. Ndjamena, Chad
12. Dar es Salaam, Tanzania
13. Bangui, Central African Republic
14. Moscow, Russia
15. Ouagadougou, Burkina Faso
16. Bamako, Mali
17. Pointe Noire, Congo
18. Lome, Togo
19. Conakry, Guinea Republic
20. Nouakchott, Mauritania
21. Niamey, Niger
22. Luanda, Angola
23. Maputo, Mozambique
24. New Delhi, India
25. Port Harcourt, Nigeria
=======================
Cleanest African Cities:
1. Cape Town, South Africa.
2. Windhoek, Namibia
3. Kigali, Rwanda
4. Asmara, Eritrea
5. Victoria, Seychelles
6. Pretoria, South Africa
7. Pietermaritzburg, South Africa
8. Port Louis, Mauritius
9. Nairobi, Kenya
10. Victoria Falls, Zimbabwe
clean up your english, there is nothing like "most dirtiest" , consult your grammar teacher!
 
Mimi nikuzaliwa Dar na kukulia. Ni lazima watu wote, vijana na wazee, Dar es Salaam NI CHAFU. Anzia Kongowe mpaka Kawe, Kibaha mpaka Chanika, Kote ni uchafu mtupu. Bila kujali Nairobi ni safi au chafu, nilazi tukubaliane Dar ni pachafu. Na sehemu kubwa ya uchafu unachingiwa na sehemu kubwa rushwa. Haiwezekana mtu ulipwe kwa kazi ya kuzibua uchafu kwenye mtaro, kisha unaacha madongo pembeni mwa barabara. Siku hizi nimeacha kwenda kariakoo kwa sababu ya uchafu. Kama ni kweli unaipenda Dar es Salaam, na nchi yako kwa ujumla, ni lazima ukubali kwamba Dar es Salaam ni chafu. Nimetembea miji mingi, lakini hakuna mji mchafu namna hii.
 
14 Dec 2013, 05:36
Why Africa’s Cities Are The Dirtiest In The
World?
Of the world’s 25 dirtiest cities, 16 of them
are in Africa. Well, at least that was the story
when Forbes magazine did a report on the “25
Most Dirtiest Cities In The World” based on the
Mercer Health and Sanitation Index Score
(http://www.forbes.com/2008/02/24/pollut ...
ide_2.html
).
This was the world dirty city league table
drawn by Forbes:
1. Baku, Azerbaijan
2. Dhaka, Bangladesh
3. Antananarivo, Madagascar
4. Port au Prince, Haiti
5. Mexico City, Mexico
6. Addis Ababa, Ethiopia
7. Mumbai, India
8. Baghdad, Iraq
9. Almaty, Kazakhstan
10. Brazzaville, Congo
11. Ndjamena, Chad
12. Dar es Salaam, Tanzania
13. Bangui, Central African Republic
14. Moscow, Russia
15. Ouagadougou, Burkina Faso
16. Bamako, Mali
17. Pointe Noire, Congo
18. Lome, Togo
19. Conakry, Guinea Republic
20. Nouakchott, Mauritania
21. Niamey, Niger
22. Luanda, Angola
23. Maputo, Mozambique
24. New Delhi, India
25. Port Harcourt, Nigeria
=======================
Cleanest African Cities:
1. Cape Town, South Africa.
2. Windhoek, Namibia
3. Kigali, Rwanda
4. Asmara, Eritrea
5. Victoria, Seychelles
6. Pretoria, South Africa
7. Pietermaritzburg, South Africa
8. Port Louis, Mauritius
9. Nairobi, Kenya
10. Victoria Falls, Zimbabwe

Hiyo wamenifanya nicheke tu;







Hiyo ndio Nairobi.
 
Sioni mtu yeyote akiongelelea Kigaliambayo ni namba tatu. Yaani uchungu wenu kuhusu Kenya unewafanya hata msiitambue hilo ?
 
Kichwa cha habari mbona tofauti na malumbano yenu?chuki ya nn vijana?Wekeni heshima mbele baina ya nchi zenu.Sioni sababu ya kuchukiana.Aliyetoa mada kataja miji kibao sikuona kama ni miji ya Afrika ya mashariki tu lakini mujue aliyetangulia katangulia hata ufanye nini kuanza elewa Nairobi ndo palikuwa makao makuu ya waingereza kwa hiyo palijengeka kabla ya Dar.Mfano ukiyatembelea maeneo kama ya westlands,lang'ata,Thika highway,city center,kileleshwa,ngong' n.k sijui utapafananisha na wapi hapa kwetu?Sehemu pachafu ni padogo sana.Halafu ujue Nairobi ni mara 2 ya Dar ukubwa wake yani kuanzia chalinze hadi baharini.mm nimezurura sana humo toka miaka ya 78 nikiwa mtoto hadi leo.Kwahiyo ninawaomba musidharauliane vijana Jengeni nchi zenu.Simtetei mtu ila ninawaelewesheni.

Hivi we mzee.., umetumwa..?, leo mtu aje aniambie Nairobi ni safi kuliko Moscow halafu nisihoji..??! mi Moscow nimewahifika.., japo for a week.., na pako fresh sanaa...!
 
I never xpct this sort.. jenga hoja, tetea hoja, sio kujilainisha na kama unapewa bahasha vile.. U were in a right track, lakini sijui kimekuingia nini.. Ulizungumza ukweli kuhusu Nairobi, sasa unaukana.. Ndio haya haya yanasababisha tudharaurike.. Damn it!!
Mkuu CALM down - kwanza nataka nikufahamishe kwamba sipendi lugha za vijiweni, unaposema nimepewa bahasha una maana gani? Mbona hoja nilizo zungumzia wahusika wame hafikiana nazo kistaarabu without offending anyone. Please revisit post No.25 ya ndugu Smatta yeye anakubali nilichokisema lakini anasema hivi sasa Serikali yao inajitahidi kurekebisha mambo, na mimi nimekubaliana naye kutokana na kujua kinacho endelea nchini mwao ku-address matatizo ya slums/uchafu wa Kibera na Mathare; Je, tuache kuwapongeza pale wanapo fanya vizuri? Soma post No.26 ya Ndugu Nairoberry naye amekubaliana na hoja zangu kuhusu ndugu zake wanao ishi Tanzania - sasa ni wapi mimi na wao tumeukana ukweli!! Mkuu hapa JF tuna wajibu wa kuelimishana na kurekebishana ili tujenge mazingira ya nchi zetu hizi mbili (raia wake) wahanze kuheshimiana eventually na hiki ndicho kinacho endelea hapa, kudai kwamba somehow nimekuwa-derailed kutoka kwenye right track hiyo si kweli hata kidogo, nakabaliana nawe kwamba kuna baadhi ya raia wa Kenya wanao tudharau, lakini ukichunguza kwa umakini utakuta ni wale ambao wako ignorant i.e hawajawahi kuja/kuishi Tanzania zaidi ya kusoma skewed propaganda za baadhi ya media nchini mwao. Kwa kifupi miji yetu hii i.e Nairobi na Dar yote yana mazuri na mapungufu yake, tofauti ni kwenye kiwango tu.
 
Jamani wengine humu tunaijua vizuri sana Nairobi. Sidhani kama inastahili kuwemo katika kumi bora ya majiji masafi zaidi Afrika. Kuna maeneo ambayo yako katikati ya jiji ambayo ni machafu kupindukia, kwa mfano sehemu zinazozunguka kituo kikuu cha mabasi kinachojulikana kama Machakos Airport. Usiku mitaa ya katikati ya jiji huvamiwa na wachuuzi wa mboga na bidhaa nyingine ambao huacha taka zikiwa zimezagaa barabarani. Hali ni mbaya zaidi sehemu kama Mathare Valley na Mukuru Kaiyaba (wenyewe wanaita mitaa ya mabanda), ambazo ziko karibu na katikati ya jiji. Sidhani kama Afrika Mashari kuna sehemu chafu wanakoishi binadamu kama Kibera na Dagoretti Corner (Githembe). Dar ni chafu lakini hili la kuiweka Nairobi katika kumi bora ya usafi Afrika linatia shaka.
 
Kwenye bandiko langu nilinukuu hivi;



Kariakoo ni sehemu ya Dar es Salaam na pia Kibera ni sehemu ya Nairobi hivyo inaakisi muonekano wa jiji kwani zaidi ya watu milioni moja wanaishi kibera ambayo ni karibia na theluthi moja ya wakazi wote wa jiji.

Hata hivyo ukiwa Kibera ni vizuri kuvaa plastic coat/apron na helmet kujikinga na flying toilets.
A million peple living in kibera?r u sober?eventhough u r biased,plz try 2 post some facts
 
Hiyo wamenifanya nicheke tu;







Hiyo ndio Nairobi.
SISTER.With all due respect,u need to style up..so everyone in TZ knows kibera like your nextdoor neghbourhood.this is shear stupity and complete show of self-denial....Madam,if the national stadium in Dar is voted best in E.A,then what biz do i have posting images of some broken seats in the stadium??You Tz lads really need to man up..then your average iQ sucks....plz try embrace a value free analysis which is more objective and full of intellectual discourse...4 your info,u r a lady,dont be cheap..u ought 2 be universal,be guided
 
SISTER.With all due respect,u need to style up..so everyone in TZ knows kibera like your nextdoor neghbourhood.this is shear stupity and complete show of self-denial....Madam,if the national stadium in Dar is voted best in E.A,then what biz do i have posting images of some broken seats in the stadium??You Tz lads really need to man up..then your average iQ sucks....plz try embrace a value free analysis which is more objective and full of intellectual discourse...4 your info,u r a lady,dont be cheap..u ought 2 be universal,be guided

Kibera is not in Nairobi?

Mind your language.
 
Back
Top Bottom