world's most dirtiest cities. 16 in Africa including dar es salaam

Halafu hilo ni jambo ambalo hata kwa macho linaonekana. Sisi vijana tunatakiwa tubadilike ili tuone wao wamefika vipi hapo kwa usafi. Denial haitupeleki popote
 
Jemeni dar inaleta aibu kubwa especially lile taka hapo kariokor mgeni anaweza zirai
Mkuu naona hapo umenoa sana - tatizo lako una kawaida ya kuanzisha threads ambazo huna uwezo/ubavu wa kuzitetea - unasukumwa na chuki binafsi kuhusu Taifa letu - kama nakumbuka vizuri, niliwahi kukuhoji kama Serikali yetu iliwahi kutaifisha mali za wajomba/shemeji zako huko Dodoma na Dar ndio maana unakuwaga mtu wa kushangaza wakati mwingine!! 4 some reason hujawahi kujibu swali langu. Chuki zako siza kawaida. Ni hivi - unaweza kuwahadaa watu ambao hawajawahi kutembelea viunga vya mji wa NAIROBI - hivi mgeni akitembelea Kibera na Mathare alafu akaja DAR na kutembelea Kariakoo, wapi atazirai MAPEMA? Wapi atakutana na raia wa nchi HURU wanao lala kwenye cardboardboxes yaiyobandikwa na bango la "MTU KALI" badala ya "MBWA KALI" kutokana na kukosa uwezo wa kufuga mbwa wa kuwalinda dhidi ya wezi! Slums za mjini wa Nairobi hata Mumbai aioni NDANI!! Kama kawaida yako utakuja na majibu yaliyo jaa matusi na kuandika adithi za kufikirika kuhusu Taifa letu.
 
How could Nairobi escape my eye? Kudos Kidero na Sonko. Though I think Nakuru is cleaner than Nai. Labda juu bado si jiji
 
Mkuu naona hapo umenoa sana - tatizo lako una kawaida ya kuanzisha threads ambazo una uwezo/ubavu wa kuzitetea - unasukumwa na chuki binafsi kuhusu Taifa letu - kama nakumbuka vizuri, niliwahi kukuhoji kama Serikali yetu iliwahi kutaifisha mali za wajomba/shemeji zako huko Dodoma na Dar, 4 some reason hujawahi kujibu swali langu!! Chuki zako si zakawaida. Ni hivi - unaweza kuwahadaa watu ambao hawajawahi kutembelea viunga vya mji wa NAIROBI - hivi mgeni akitembelea Kibera na Mathare alafu akaja DAR na kutembelea Kariakoo wapi atazirai MAPEMA? Wapi atakutana na raia wa nchi huru wanao lala kwenye cardboardboxes yaiyowekwa bango la "MTU KALI" badala ya "MBWA KALI" kutokana na kukosa uwezo wa kufuga mbwa wa kuwalinda dhidi ya wezi! Slums za mjini wa Nairobi hata Mumbai aioni NDANI!! Kama kawaida yako utakuja na majibu yaliyo jaa matusi na kudai Watanzania wanawaza viroba vya konyagi.

Lakini kaka unafaa kukumbuka kuwa kuna projects zinazoendelea za kujenga low housing units kwa hao watu wanaoishi kwa mabanda, it might take a few years but am sure zitaisha. tukubali ya ishe
 
Mkuu naona hapo umenoa sana - tatizo lako una kawaida ya kuanzisha threads ambazo una uwezo wa kuzitetea - unasukumwa na chuki binafsi kuhusu Taifa letu - kama nakumbuka vizuri, niliwahi kukuhoji kama Serikali yetu iliwahi kutaifisha mali za wajomba/shemeji zako huko Dodoma na Dar, 4 some reason hujawahi kujibu swali langu!! Chuki zako si zakawaida. Ni hivi - unaweza kuwahadaa watu ambao hawajawahi kutembelea viunga vya mji wa NAIROBI - hivi mgeni akitembelea Kibera na Mathare alafu akaja DAR na kutembelea Kariakoo wapi atazirai MAPEMA? Wapi atakutana na raia wa nchi huru wanao lala kwenye cardboardboxes yaiyowekwa bango la "MTU KALI" badala ya "MBWA KALI" kutokana na kukosa uwezo wa kufuga mbwa wa kuwalinda dhidi ya wezi! Slums za mjini wa Nairobi hata Mumbai aioni NDANI!! Kama kawaida yako utakuja na majibu yaliyo jaa matusi na kudai Watanzania wanawaza viroba vya konyagi.

Kuhusu mali yetu dodoma. Ni kweli ccm miaka ya themanini ilitaifisha mali ya babu. Karibu tuwe fukara kupindukia lakini uzuri ni kuwa mali yetu nchini kenya ilituokoa na tukaanza upya tukanawiri zaidi kipindi hicho chote niliishi na kusomea kenya. Lakini mambo sasa ni poa ila nikiwa dodoma naumwa na roho kuona umaskini wa kupindukia,
 
Kenya wapo vizuri tujifunze af tubadilike mi nilienda nakuru mji msafi kuzidi hata iyo Dar
 
14 Dec 2013, 05:36
Why Africa’s Cities Are The Dirtiest In The
World?
Of the world’s 25 dirtiest cities, 16 of them
are in Africa. Well, at least that was the story
when Forbes magazine did a report on the “25
Most Dirtiest Cities In The World” based on the
Mercer Health and Sanitation Index Score
(http://www.forbes.com/2008/02/24/pollut ...
ide_2.html
).
This was the world dirty city league table
drawn by Forbes:
1. Baku, Azerbaijan
2. Dhaka, Bangladesh
3. Antananarivo, Madagascar
4. Port au Prince, Haiti
5. Mexico City, Mexico
6. Addis Ababa, Ethiopia
7. Mumbai, India
8. Baghdad, Iraq
9. Almaty, Kazakhstan
10. Brazzaville, Congo
11. Ndjamena, Chad
12. Dar es Salaam, Tanzania
13. Bangui, Central African Republic
14. Moscow, Russia
15. Ouagadougou, Burkina Faso
16. Bamako, Mali
17. Pointe Noire, Congo
18. Lome, Togo
19. Conakry, Guinea Republic
20. Nouakchott, Mauritania
21. Niamey, Niger
22. Luanda, Angola
23. Maputo, Mozambique
24. New Delhi, India
25. Port Harcourt, Nigeria
=======================
Cleanest African Cities:
1. Cape Town, South Africa.
2. Windhoek, Namibia
3. Kigali, Rwanda
4. Asmara, Eritrea
5. Victoria, Seychelles
6. Pretoria, South Africa
7. Pietermaritzburg, South Africa
8. Port Louis, Mauritius
9. Nairobi, Kenya
10. Victoria Falls, Zimbabwe

kwanini rais kagame anamshinda rais kikwete kwa usafi?
 
Wamesema city sio kitongoji. Do you know how to read?

Kwenye bandiko langu nilinukuu hivi;

Jemeni dar inaleta aibu kubwa especially lile taka hapo kariokor mgeni anaweza zirai

Kariakoo ni sehemu ya Dar es Salaam na pia Kibera ni sehemu ya Nairobi hivyo inaakisi muonekano wa jiji kwani zaidi ya watu milioni moja wanaishi kibera ambayo ni karibia na theluthi moja ya wakazi wote wa jiji.

Hata hivyo ukiwa Kibera ni vizuri kuvaa plastic coat/apron na helmet kujikinga na flying toilets.
 
Kuhusu mali yetu dodoma. Ni kweli ccm miaka ya themanini ilitaifisha mali ya babu. Karibu tuwe fukara kupindukia lakini uzuri ni kuwa mali yetu nchini kenya ilituokoa na tukaanza upya tukanawiri zaidi kipindi hicho chote niliishi na kusomea kenya. Lakini mambo sasa ni poa ila nikiwa dodoma naumwa na roho kuona umaskini wa kupindukia,
Mkuu msema kweli ni mpenzi wa Mungu, hutanisikia tena nikikupinga au kulumbana na wewe - sasa mbona kuna raia walio wahi kurudishiwa mali zao sasa nyinyi kwa nini handai mali zenu!! Inauma kweli nakubaliana NAWE.
 
dar ni safi kuliko miji yote duniani iwapo tu obama atahamia hapa bongo kwa sabab kipind alichokuja mpk barabara zikasafishwa na mifereji ikazibuliwa
 
Lakini kaka unafaa kukumbuka kuwa kuna projects zinazoendelea za kujenga low housing units kwa hao watu wanaoishi kwa mabanda, it might take a few years but am sure zitaisha. tukubali ya ishe
Mkuu Smatta najua vizuri Projects zinazo endelea katika slums hizo ambazo zilikuwa spearheaded by Raila, hapa nilikuwa nataka kumchemsha Nairoberry sikuwa na nia mbaya mkuu, na kwa kuwa nilikuwa nimekwisha msoma sana kisaikolojia naye amekubali niliyo muhoji - hivyo sina tatizo naye tena. Hivi Smatta umewahi kuja tena Dar siku za hivi karibuni - pamebadirika sana mkuu.
 
Nevertheless maeneo ya country bus yanahitaji usafi na uhuni wa manamba ndio usiseme.
 
Mkuu Smatta najua vizuri Projects zinazo endelea katika slums hizo ambazo zilikuwa spearheaded by Raila, hapa nilikuwa nataka kumchemsha Nairoberry sikuwa na nia mbaya mkuu, na kwa kuwa nilikuwa nimekwisha msoma sana kisaikolojia naye amekubali niliyo muhoji - hivyo sina tatizo naye tena. Hivi Smatta umewahi kuja tena Dar siku za hivi karibuni - pamebadirika sana mkuu.

Dar is my second home, sidhani miezi miwili inaweza pita bila mimi kufika.. Pamebadilika sana, we are on the right track.
 
Kwa kweli Nairobi ni pazuri ila sio pasafi. Uchafu uko ovyo ovyo tu kila mahali.

Ila zamani Nairobi palikuwa pasafi kabisa sijui nini kimetokea in recent days
 
Mkuu Smatta najua vizuri Projects zinazo endelea katika slums hizo ambazo zilikuwa spearheaded by Raila, hapa nilikuwa nataka kumchemsha Nairoberry sikuwa na nia mbaya mkuu, na kwa kuwa nilikuwa nimekwisha msoma sana kisaikolojia naye amekubali niliyo muhoji - hivyo sina tatizo naye tena. Hivi Smatta umewahi kuja tena Dar siku za hivi karibuni - pamebadirika sana mkuu.

I never xpct this sort.. jenga hoja, tetea hoja, sio kujilainisha na kama unapewa bahasha vile.. U were in a right track, lakini sijui kimekuingia nini.. Ulizungumza ukweli kuhusu Nairobi, sasa unaukana..
Ndio haya haya yanasababisha tudharaurike..
Damn it!!
 
sexologist,

Pole pole aise, hatuko hapa kujibizana. Leta hoja tujadili, kuniita ***** hakutakufaidi wala kufaidi wachangiaji wengine kwenye mada. Pia mimi nimeishi Tz sana, kuna mpangilio wowote (city planning) Daresalam compared to Nbi? Nielimishe usinitukane.
 
Back
Top Bottom