World Military Geniuses Of All Time

Companero hadi John Okello kweli unamuweka kwenye kundi la kina Napoleon? Sio sahihi umempandisha sana
-Mi wakwangu ni Sun Tzu namba moja
 
Last edited by a moderator:
Companero hadi John Okello kweli unamuweka kwenye kundi la kina Napoleon? Sio sahihi umempandisha sana
-Mi wakwangu ni Sun Tzu namba moja

Mkuu hiyo ni orodha ya jumla ila ukitaka ya 5 bora, 10 bora, 100 bora na kadhalika basi inawezekana Okello hatakuwa kundi moja na Napoleon kwenye hizo orodha!
 
Moshe Dayan wa Israel
Kwa kweli nashangaa sana sipo! mbinu zangu za kivita zpo kwenye training manuals za nchi nyingi duniani hasa baada ya kuwachapa waarabu kwa siku sita,,, haijawah tokea vita kubwa ikaisha kwa siku sita!

I deserve a place in top 5
 
1. field marsha erwin rommel
2. Genghis khan
3. Alexander the great
4. atila the hun
5. gothard heinric
 
My List :

1. Cyrus the Great
2. Alexander the Great.
3.Julius Caesar.
4.Napoleon Bonapatre.
5.Hannibal Barca.
6. Ghengis Khan.
7. Adolf Hitler.
8. William the Conqueror
9.Attila the hun.
10.Georgy Zhukov.
 
[h=3]1. Genghis Khan
2. Alexander the Great

3.Attila the Hun

4. Napoleon di Buonaparte

5. Hannibal
("father of strategy)[/h]
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom