Companero hadi John Okello kweli unamuweka kwenye kundi la kina Napoleon? Sio sahihi umempandisha sana
-Mi wakwangu ni Sun Tzu namba moja
Dedan Kimathi.
Kwa kweli nashangaa sana sipo! mbinu zangu za kivita zpo kwenye training manuals za nchi nyingi duniani hasa baada ya kuwachapa waarabu kwa siku sita,,, haijawah tokea vita kubwa ikaisha kwa siku sita!Moshe Dayan wa Israel
He!! Castro kapigana vita ipi apart from revolution
1. field marsha erwin rommel
2. Genghis khan
3. Alexander the great
4. atila the hun
5. gothard heinric
Jumong of Goguryeo and Kim Yusin of Silla