World Islamic Cup, 2022 Qatar

Qatar masharti kila kukicha mara sijui hamna pombe mara uje na cheti cha ndoa, mara sijui nn Yani masharti kibao daily. Kwann msiandae kombe la maadili ya dini pendwa?
Huo ni unafiki wa kidini, hao wazee wa mashuka vichwani ndio wanaongoza kwa dhambi ya Sodoma na Gomorrah. Ndio wanaopandisha bei ya mihadarati na utalii wao wa nje ya nchi ni wa kupombeka
 
Lipia DSTV angalia mpira ukishindwa fungua TBC walio serious wako huko kina Shafii Dauda wanaangalia game ukitaka pombe nenda Sinza tu kawaungishe
 
Huo ni unafiki wa kidini, hao wazee wa mashuka vichwani ndio wanaongoza kwa dhambi ya Sodoma na Gomorrah. Ndio wanaopandisha bei ya mihadarati na utalii wao wa nje ya nchi ni wa kupombeka
Wanaongoza kwa utafiti uliotolewa na taasisi gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom