Kwamba waingie uwanjani kucheza huku wamevaa kobazi,kanzu na baraghashia.
#MaendeleoHayanaChama
Sasa unauliza swali na kujijibu mwenyewe au unataka jibu?Nani kakuambia mchezo was soka Ni wa Waingereza
Atheist huna hoja Cha muhimu No Alcohol
Sawa Mkuu Mungu akupe hekima katika hizi siku za upofu ili usake knowledgeSasa unauliza swali na kujijibu mwenyewe au unataka jibu?
Hoja ukiiona utaijua au mpaka urejee alichokuambia Muarabu kwanza?
Asiponipa hekima na hivyo nikakosa knowledge, hapo litakuwa kosa lake kwa kuwa yeye hajanipa hekima au kosa langu kwa kuwa yeye hajanipa hekima?Sawa Mkuu Mungu akupe hekima katika hizi siku za upofu ili usake knowledge
Kiburi Cha uzima ndo kinatufanya kuwa faithless Hadi kukosa Hekima!Asiponipa hekima na hivyo nikakosa knowledge, hapo litakuwa kosa lake kwa kuwa yeye hajanipa hekima au kosa langu kwa kuwa yeye hajanipa hekima?
Huo ni unafiki wa kidini, hao wazee wa mashuka vichwani ndio wanaongoza kwa dhambi ya Sodoma na Gomorrah. Ndio wanaopandisha bei ya mihadarati na utalii wao wa nje ya nchi ni wa kupombekaQatar masharti kila kukicha mara sijui hamna pombe mara uje na cheti cha ndoa, mara sijui nn Yani masharti kibao daily. Kwann msiandae kombe la maadili ya dini pendwa?
Hizi chuki zote tunajua kisa ni Qatar kupiga marufuku ushoga,hayo malalamiko mengine mnazunguka tu coz mnajificha kwenda kwenye hoja direct.Qatar masharti kila kukicha mara sijui hamna pombe mara uje na cheti cha ndoa, mara sijui nn Yani masharti kibao daily. Kwann msiandae kombe la maadili ya dini pendwa?
Kaingia huku umebeba bendera ya upinde.Kwamba waingie uwanjani kucheza huku wamevaa kobazi,kanzu na baraghashia.
#MaendeleoHayanaChama
Lipia DSTV angalia mpira ukishindwa fungua TBC walio serious wako huko kina Shafii Dauda wanaangalia game ukitaka pombe nenda Sinza tu kawaungisheQatar masharti kila kukicha mara sijui hamna pombe mara uje na cheti cha ndoa, mara sijui nn Yani masharti kibao daily. Kwann msiandae kombe la maadili ya dini pendwa?
Wanaongoza kwa utafiti uliotolewa na taasisi gani?Huo ni unafiki wa kidini, hao wazee wa mashuka vichwani ndio wanaongoza kwa dhambi ya Sodoma na Gomorrah. Ndio wanaopandisha bei ya mihadarati na utalii wao wa nje ya nchi ni wa kupombeka
Rangi za upinde wa mvua manake Mungu hata iangamiza dunia kwa maji tena.Kaingia huku umebeba bendera ya upinde.