Because you are subsistence farmers, peasant farmers. Everyone is a peasant farmer. Your society is not advanced enough, as a nation develops fewer people engage in Farming.Utafukua fukua kila kitu, ila on de ground mambo ni different, you die of hunger and you buy food from Tanzania.
Mention one incidence Tz tulinunua chakula from anywhere.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushasikia lini tumelia njaa au kuja kununua chakula kwenu.Because you are subsistence farmers. Peasant farmers. veryone is a peasant farmer, your society is not advanced enough, as a nation develops fewer people engage in Farming.
Men lie, women lie. Numbers don't!
Hii ndiyo index ya food security ya dunia. Kenya number 86, Tanzania number 96 Ndugu zangu Watanzania, mambo ya chakula mnadidimia, wakati Kenya inapaa. Kenya nusu yake ni jangwa. Aisee ..au mnatulisha halafu mnajisahau.
If I reckon, the world food index is numbers! Or maybe numbers mean something different in Tanzania? As shown Kenya ranks higher than Tanzania on the world food index.
Mbona sisi huwauzia EU maharage, dengu, matunda etc na bado kuna njaaUtafukua fukua kila kitu, ila on de ground mambo ni different, you die of hunger and you buy food from Tanzania.
Mention one incidence Tz tulinunua chakula from anywhere
Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi uelewe kipimo wanachotumia hawa waandishi wengi ni irrelevant kwa Tanzania.Watanzania walio wengi wanaishi vijijini.a hawaihitaji pesa kununua chakula sababu wanalima for consumption.Mbona sisi huwauzia EU maharage, dengu, matunda etc na bado kuna njaa????
Kuna tofauti kati ya Wakulima ndani ya nchi kuzalisha chakula cha kutosheleza nchi, na wananchi wote kua na uwezo wa kununa chakula....
Labda uniambie kila mtu Tanzania ni mkulima, lakini kama si hivyo basi wale ambao si wakulima bado inawalazimu kununua hicho chakula, na kama hawana hela ya kununua basi watalala njaa hata kama Tanzania inazalisha chakula cha kulisha Africa nzima.
Kwahivyo kama wewe si mkulima, hakuna tofauti ya mkenya anae enda dukani na kununua mfuko mmoja wa unga wa mahindi (yalio agiziwa kutoka nje na kusagwa hapa Kenya), na mtanzania ane enda kununua unga wa mahindi(yalio zalishwa TZ na kusagiwa TZ).... Huyo mkenya na Mtanzania wote wananunua dukani na pesa walizonazo mfukoni, wakikosa pesa hawatakua na uwezo wa kununua huo unga, haijalishi mahindi yalitoka wapi!
Hii ndio maana nchi kama Saudi Arabia au UAE hautaziona hapo kwa njaa ilihali wao hawazalishi chakula cha aina yeyote, wanaagizia kila kitu kutoka nje na wananchi wao wana uwezo wa kununua vyakula madukani
For the things of this world cannot be made known without a knowledge of mathematics.Those stats don’t make sense
Na hata huko maashambani sio kila mtu ni mkulima.Inabidi uelewe kipimo wanachotumia hawa waandishi wengi ni irrelevant kwa Tanzania.Watanzania walio wengi wanaishi vijijini.a hawaihitaji pesa kununua chakula sababu wanalima for consumption.
Kwahio ishu ya food security labda kwa maskini wa mjini.Ambao na uhakika ukiwachukua hawawezi zidi hata 25% ya watanzania.
Things are very different for Kenya. Most of you need money to buy food.
Sent using Jamii Forums mobile app
Can you use stones to buy food?Things are very different for Kenya. Most of you need money to buy food.
Kenyans are not that lazy and they know how to make money and how to use it.
Can you use stones to buy food?