World Economic Forum yaja - wadaresalama mtapita wapi?

Wangejenga zile fly overs haraka haraka sipati picha jiji la Dar litakuwaje in those hours mentioned.

Akili ni nywele na kila mmoja anazo au hao viongozi wetu wote wanavipara?
 
Preparations for this meeting is in top gear! Whatever that means!
200 DELEGATES expected to arrive... most probably each will have own vehicle... patakuwa hapatoshi!

Wos, it's 12 Head of States na 1000 delegates, u can Imagine. Sisi bila wageni ni foleni, mvua ikinyesha balaa, ngoja tuone sarakasi.
 
Sidhani kama hii mikutano ina tija kweli zaidi ya kutumalizia mafuta kwenye foleni barabarani. Kweli miaka 50 baada ya uhuru tunashindwa ku manage movement ya watu 11 tu? Kweli huu ndo mji mkuu wa kibiashara tunafunga barabara kuu zote ili watu 1000 wapite?

Kweli serikali ya CCM inastahili kuwa madarakani kwa utendaji kazi kama huu? Je mkutano wa marais wote wa Afrika ungefanyika Dar, si serikali ingetangaza wananchi wote wasitumie magari kwa mwezi mzima ili kupisha wageni?

Nani aliyewakaribisha na kuomba huu mkutano ufanyike hapa Dar es Salaam wakati hatuna miundombinu ya kuhimili marais 11 na wageni wengine 1000????? Hakujua Dar hatuna miundo mbinu ya kutosha?? Au kwa sababu yeye anasafishiwa njia na vingo'ra????

CCM na serikali yake you have failed BIG TIME!!

Nashangaa kwa nini bado tunatawaliwa na CCM!!

Naomba Mungu mvua iliyonyesha last week inyeshe kuanzia leo mfululizo mpaka Ijumaa.
 
Nchi hii ina mambo...sijui mpite wapi kwa hali hii labda watoe mapumziko ili wageni wao wapite vizuri
 
Sidhani kama hii mikutano ina tija kweli zaidi ya kutumalizia mafuta kwenye foleni barabarani. Kweli miaka 50 baada ya uhuru tunashindwa ku manage movement ya watu 11 tu? Kweli huu ndo mji mkuu wa kibiashara tunafunga barabara kuu zote ili watu 1000 wapite?

Kweli serikali ya CCM inastahili kuwa madarakani kwa utendaji kazi kama huu? Je mkutano wa marais wote wa Afrika ungefanyika Dar, si serikali ingetangaza wananchi wote wasitumie magari kwa mwezi mzima ili kupisha wageni?

Nani aliyewakaribisha na kuomba huu mkutano ufanyike hapa Dar es Salaam wakati hatuna miundombinu ya kuhimili marais 11 na wageni wengine 1000????? Hakujua Dar hatuna miundo mbinu ya kutosha?? Au kwa sababu yeye anasafishiwa njia na vingo'ra????

CCM na serikali yake you have failed BIG TIME!!

Nashangaa kwa nini bado tunatawaliwa na CCM!!

Naomba Mungu mvua iliyonyesha last week inyeshe kuanzia leo mfululizo mpaka Ijumaa.
 
Nani aliyewakaribisha na kuomba huu mkutano ufanyike hapa Dar es Salaam wakati hatuna miundombinu ya kuhimili marais "Nashangaa kwa nini bado tunatawaliwa na CCM":brick:
Good advise...............

"TUTASHINDA VITA KAMA TUTAUNGANA PAMOJA" Mh Omary(PRESDENT : TUCTA)
 
Hii ndio Tanzania Jamani

Nunueni Gazeti la CITIZEN la Leo Mtaona Front Page ili miti wanayoipanda barabara ya Sam Nujoma

Walikuwa wapi siku zote jamani.....Kesho kutakuwa hapatoshi Hilo Foleni lake
 
Hahahahhah
Na kweli waziache tu ili tupatiwe msaada wa kujenga flyovers. Hahahah

Wa tegeta, Mbezi e.t.c yetu ni Old Bagamoyo road ambayo mh sina la kusema. Anyway tumepewa sababu nyingine ya kufika makazini saa nane mchana then tisa kamili unasign off- Bongo tambarareeeee
 
Si wengekaa Kempisiki an forum ikutane Bank Kuu maana wana big conference room
 
Lukuvi ametangaza jana kuwa Ali H. Mwinyi rd itakuwa inafungwa kuanzia saa 1 hadi 3 asubuhi, halafu kuanzia saa 9 alasiri hadi 1 jioni....Mnaotumia barabara hii mjiandae ikiwezekana chukueni likizo kabisa!
 
Kwani helkopta ya polisi inafanya nini? mbona CCM wakati wa kampeni wanakodisha helkopta? Kwanini wakodishe kwa ajiri ya hao wageni wao?

Tanzania tuna mkosi wa kutawaliwa na wapumbafu wa CCM
 
Mgeni njoo mwenyeji apate adha. Kwa Tanzania yenye viongozi wenye fikra duni kila upuuzi unawezekana.
 
Yani wazawa tunafungiwa barabara ili wageni wapite!
Hii haijakaa vizuri kabisa yaani, nchi yetu tunaishi km watumwa/walowezi, inasikitisha

Anayefahamu vizuri tafadhali atuambie itafungwa lini na kwa mda gani
 
Lukuvi ametangaza jana kuwa Ali H. Mwinyi rd itakuwa inafungwa kuanzia saa 1 hadi 3 asubuhi, halafu kuanzia saa 9 alasiri hadi 1 jioni....Mnaotumia barabara hii mjiandae ikiwezekana chukueni likizo kabisa!

kwa siku ngapi? vp ratiba ya nyerere road?
 
Back
Top Bottom