World cup star Mohammed Salah's injury is God's punishment for breaking Ramadan fast, claims Kuwaiti Preacher

tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,786
4,490
Defcp77VQAAfpb_.jpg

Muslim preacher in Kuwait has said that Egyptian soccer star Mohammed Salah’s injury in the Champions League final on Saturday was a divine punishment.

Posting on social media, Mubarak al-Bathali said that Salah, who plays for the United Kingdom's Liverpool Football Club, was injured as a punishment from God for breaking his Ramadan fast early. Although Al-Bathali said Salah is religiously permitted to break his fast due to travel, doing so for the game was a sin.

At the same time, the preacher praised Salah for being an ambassador for Islam in the West, saying he hopes he will learn from God's lesson, Al Arabiya reported.

"The player Mohammed Salah decided to play for Liverpool, as he said so, God punished him ... No thoughtful man thinks, especially not a Muslim, that life is managed by reason and effort, but life in the hand of God comes to whom he wants, whether he strives hard or not... May God guide you, Muhammad Salah, and perhaps it is good for you in all aspects of life..."

The star athlete was injured just 31 minutes into the championship game. In a collision with rival Spanish player Sergio Ramos, from opposing Real Madrid, Salah dislocated his shoulder sidelining him for the remainder of the game.

On social media, many fans seemed to disagree with the preacher's judgment.

View attachment 790366

Nimeanza kuhisi huyu mo sala upande wa waislam wanamsifia kidin zaidi kuliko kimichezo coz ukichunguza utaona kila muislam anavyomjadili utashangaa ni kidin zaidi kuna watu mfano madem walikuwaga hawaujui mpira eti now wanajiita livapu team salaa na ukiwachunguza ni waislam najiuliza hivi akipotea nao mpira wataususaa??!
 
Hao wanaitwa "mende wa msimu" wanakuja na matukio,salah akitoweka hutowasikia tena akihama timu wanahama nae.
 
Nimeanza kuhisi huyu mo sala upande wa waislam wanamsifia kidin zaidi kuliko kimichezo coz ukichunguza utaona kila muislam anavyomjadili utashangaa ni kidin zaidi kuna watu mfano madem walikuwaga hawaujui mpira eti now wanajiita livapu team salaa na ukiwachunguza ni waislam najiuliza hivi akipotea nao mpira wataususaa??!
Imani ina nguvu sana, na watu maarufu wana uwezo wa kuishawishi jamii kwa haraka sana kupitia IMANI.

Kumbuka PAUL POGBA alivyokuwa anapondwa na hawa watu, lakini alipobadili dini sasa hivi ANASIFIWA na hao hao na utakuta wanaamua kushabikia timu anayochezea.

Binafsi, nilimpenda RICARDO KAKA kutokana na haiba yake iliyochagizwa na ULOKOLE wake japokuwa sikuwa shabiki wa AC Milan au Real Madrid.

Kila alipofunga goli au kushinda taji alionyesha fulana au ishara juu ya IMANI yake, hivyo kuimpact ushawishi kwa vijana wa KIKRISTO, the same kwa anachofanya Salah kwenye imani yake.

Ndio mambo ya IMANI hayo.
 
Nguzo za uislam ziko 5
Ramadhan ni moja ya nguzo hizo
Zingine 4 alikuwa anazitekeleza?
 
Nguzo za uislam ziko 5
Ramadhan ni moja ya nguzo hizo
Zingine 4 alikuwa anazitekeleza?
Nguzo ya 4 na ya 5 siyo lazima ila kama hali itakuruhusu ndiyo unaweza kuyafanya.....Mfungo wa Ramadhan na Kwenda kuhiji Macca
 
kwani salah peke ake aliyekua hakufunga? mbona benzema, mane hawakufunga. cavajal sio muislamu mbona aliumia? tumshukuru ramos tu kwa alichokifanya
 
Mo Salah ikumbukwe kua alikua msafiri wakati wa mechi ile. (From UK-Kiev) Kulingana na sheria safari yake ilikua kwa lengo halal na ilikua imetimiza vigezo vyote vinavyotakiwa. Hivyo alikua na ruhusa ya kutokufunga na siku zile atazilipa baada ya mwezi wa ramadhani kuisha. Hio ni kwa mujibu sheria. (Ahkam fikhiyat-Jaafariy)
 
Back
Top Bottom