World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Sure, why not?
Lakini so far sijaona kiwango wala lile samba la kibrazil kuniconvince otherwise, team inacheza ikimtegemea sana Neymar, huruma za marefa na undava kama jana
Ujerumani so far wamequalify kutoka kwenye kundi gumu na wamekutana na mitahani miwili mitatu mpaka sasa, lakini wameweza kuhold their nerves na kupata matokeo bila kutumia dark arts kama Brazil
hivihivi tunavyowaona wanasuasua ndo wanazidi kupaa ndoo watabeba!!! kila siku ukiwaona viwango vinaongezeka,Brazil tuliyoiona wakati wa kutafuta washiriki wa fainali za WC ni tofauti na hatua ya timu 32,tofauti kabisa na 16 bora na imeonekana tofauti robo final na hata semi itakuwa tofaut,hivyohivyo kigumugumu na kiudhaifu ndoo yao watabaki nayo.
 
TAWILE, kale kaashura sijui neema kanadeka mno bora kapumzike tutazame soka la wakubwa, mi natamani timu yoyote ibebe lkn sio Brazil japo ndio wanaovaa rangi bora zaidi ya jezi kupata kutokea.

Mchezaji wa Nigeria alifanyiwa faulo mbaya na Matuidi na akavunjika mara mbili lakini watu hawakupiga kelele kama haka kanaima, kwanza kaliguswa tu na Zuniga, kama angekusudia kukavunja jana ndio ungekua mwisho wake kumuona uwanjani.
Brazil kama walikua na nafasi ya kunyanyua hii ndoo waliipoteza jana kwa kucheza mieleka, wakaishia kupoteza wachezaji wao muhimu sana na Mkoloni hatawaacha kamwe hawa wazee wa mbeleko
 
Mkuu hoja ya kubebwa brazil unaitowa wapi? hebu usilete siasa kwenye soccer mkuu. hili neno umelirudia mara kadhaa.

Tumeshuhudia Chile wakipiga buti na howard kuwabana brazil kimtindo mpaka matuta, mbona chile hakupita?

tumeshuhudia mchezo wa jana wakasi viatu nk, nasasa Neyma kavunjwa mgongo, katikati brazil walipa yelow na hata wapinzani wao.

Hakuna kitu cha kuzusha bwana ile soccer hukuitazama peke yako, tumetazama wote.

Tujitahidi kuwa wakweli, timu zilizohujumiwa na marefa ni zakwetu afrika, rafu ndogo tu kadi nk.

Hutaki unaacha, ukiona nazusha au naleta siasa nipotezee tu.
Brazil kabebwa from game1 Vs Croatia, penati ya uongo na refa kumuokoa Neymar asipate red card, bado mieleka ya jana na majaribio ya kumvunja Rodriguez yakawageukia, sasa mjiandae na mjeledi wa Mkoloni
 
hivihivi tunavyowaona wanasuasua ndo wanazidi kupaa ndoo watabeba!!! kila siku ukiwaona viwango vinaongezeka,Brazil tuliyoiona wakati wa kutafuta washiriki wa fainali za WC ni tofauti na hatua ya timu 32,tofauti kabisa na 16 bora na imeonekana tofauti robo final na hata semi itakuwa tofaut,hivyohivyo kigumugumu na kiudhaifu ndoo yao watabaki nayo.

Brazil haikushiriki kutafuta washiriki wa WC kwa sababu ya wenyeji
Kama unaona kiwango chao kinakua kila siku ni vyema na haki Mkuu, mtajipima vyema na hicho kiwango chenu kinachokua kwa Mkoloni.
And good lucky, because you'll need it!
 
Mama yangu, hauko siriazi!!!! basi we geti kali, kiwanda cha Pepsi unakijua? ile barabara ya kwenda airport ushawahi kupita kwa daladala??

Huko nimeishia Tazara pale kiwanda cha bakhressa, sijavuka kwenda kulia wala kushoto wala huko mbele ya hayo mataa.
 
Hutaki unaacha, ukiona nazusha au naleta siasa nipotezee tu.
Brazil kabebwa from game1 Vs Croatia, penati ya uongo na refa kumuokoa Neymar asipate red card, bado mieleka ya jana na majaribio ya kumvunja Rodriguez yakawageukia, sasa mjiandae na mjeledi wa Mkoloni

Duwa la kuku wala mwewe hatikisiki, kuku akitowa shingo tu mwewe anaondoka nayo.

Brazil utaichukia lakin wanapiga soccer kwa kiwango tofauti kila uchapo kiwango chao kinapaa.
 
Brazil haikushiriki kutafuta washiriki wa WC kwa sababu ya wenyeji
Kama unaona kiwango chao kinakua kila siku ni vyema na haki Mkuu, mtajipima vyema na hicho kiwango chenu kinachokua kwa Mkoloni.
And good lucky, because you'll need it!

asante mkuu kwa wish yako

Brazil wako differ kila time kama unakumbuka wakati wa confideration cup 2013 ilikuwa too soft still tukabeba the crown sasa wanajua hata kutumia nguvu, wanakaba as a team so far we are better than last year that's why I believe in them na kombe linabaki samba land
 
48 minutes to the kick off, nawasalimieni wadau wote wa michezo, nitajumuika nanyi kuwaangalia Argentina wakimenyana vikali na Belgium. Skype.
 
Hutaki unaacha, ukiona nazusha au naleta siasa nipotezee tu.
Brazil kabebwa from game1 Vs Croatia, penati ya uongo na refa kumuokoa Neymar asipate red card, bado mieleka ya jana na majaribio ya kumvunja Rodriguez yakawageukia, sasa mjiandae na mjeledi wa Mkoloni

Siikubali Brazil hii lkn Mkoloni HAWEZI hata kumsumbua Brazil sababu ya central back za Mkoloni ni wazito mno na kuumia kwa Mustafi ambaye ndiye mwenye kasi pale ni pengo sana kwao!!

Brazil atafungwa na Argentina fainali sio MKOLONI
 
niwasalimieni wote hapa kwenye jukwaa letu pendwa

Amani imetawala, shukrani zote anastahiki Muumba mbingu na nchi aliyetujalia kukutana hapa tena jioni ya leo. Binafsi ni buheri wa afya, karibu mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom