kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 5,987
- 6,646
Egnecious,
Taarifa imejawa na jina Zitto kila mahala badala ya hoja nk.
Hoja za huyo nidhaifu,zakusifu na kujipendekeza kwa rais mkufunzi gani mjinga mjinga hivi?? Hiyo hela itumike vizuri kurekebisha elimu yetu tusiwe na wasomi wapumbafu.
- hajaeleza pesa hiyo itatoka lini, zitto alitaka isitolewe mapema itaingizwa kwenye kampeni za 2020.
- hajaeleza sharti la wasichana wanaopata mimba imeamuliwaje, kijana aliwaomba waibane serikali warudishwe shule nk. Hoja za zito siyo hela isitolewe no WB iibane serikali kuridhia mambo kadhaa swala ni je, hojazake zimezingatiwa?
Ukiwa msomi usiongee kama umeishia darasa la saba onesha tofauti ...stupid mkufunzi