World Bank: Wasomaji Afrika mara nyingi hufelishwa na walimu

Royal Warrior

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
1,166
2,117
salaam..

ripoti ya World Bank inaonesha kuwa mara nyingi wanafunzi wa Afrika hufeli kwa sababu ya walimum kutohudhuria darasani muda mwingi.

DK7kWoJUIAANOaH.jpg
 
Acha roho mbaya kumbe walimu ndio mpo hivyo fikra zenu sasa ukiwafanyia hivyo watoto wetu ndio maslahi yako yatakuja!!!! baada ya kukomaa na serikali, Walimu hovyo kabisa nyie

Nyie wazazi wao si ndo mnashangilia tukitukanwa majukwaani, sasa nikiwajali watoto wenu wangu wajaliwe na nani?

Yani watoto wangu wapige miayo ya njaa huku Mimi nakomaa na watoto wenu? Never..
 
Nyie wazazi wao si ndo mnashangilia tukitukanwa majukwaani, sasa nikiwajali watoto wenu wangu wajaliwe na nani?

Yani watoto wangu wapige miayo ya njaa huku Mimi nakomaa na watoto wenu? Never..
Tatizo mnatumika na CCM mtaendelea lini sasa?!!
 
Hiyo graph inaonyesha kuwa hata wakienda shuleni bado kuna asilimia ya kutosha hawaingii ku darasa. Hapa wakuu wa shule sijui wanasemaje.
 
Kazi siachi, tusipangiane.

utakua na resentiment na kazi yako,

pole sana,

kama navyokuona unajilazimisha kwenda kazini,lol

yaani I can predict kabisaaa hapo unapofanya kazi-watoto wanafeli somo lako kuliko masomo mengine,

na the way ulivyo bitter hapa jukwaani,inatoa picha watoto wetu wanakukoma,lol si kwa fimbo si kwa adhabu,

mwalimu mnoko ndio jina lako LOLSSSSSSSSSSSS
 
Kuna shule huku kijijini kidato cha kwanza wako mia sita na wako na mwl mmoja kwa kila somo na huyo mwl ana vipindi vidato vingine. Ndio maana baba angu japo ni mwl alikataa katakata mimi kusoma bacherol of sc with education coz alitaka nisipate shida wanazopata
 
utakua na resentiment na kazi yako,

pole sana,

kama navyokuona unajilazimisha kwenda kazini,lol

yaani I can predict kabisaaa hapo unapofanya kazi-watoto wanafeli somo lako kuliko masomo mengine,

na the way ulivyo bitter hapa jukwaani,inatoa picha watoto wetu wanakukoma,lol si kwa fimbo si kwa adhabu,

mwalimu mnoko ndio jina lako LOLSSSSSSSSSSSS
halafu sasa ni wa kike
 
Nyie wazazi wao si ndo mnashangilia tukitukanwa majukwaani, sasa nikiwajali watoto wenu wangu wajaliwe na nani?

Yani watoto wangu wapige miayo ya njaa huku Mimi nakomaa na watoto wenu? Never..
Na wewe ni mwalimu kweli??
 
Back
Top Bottom