usiwasemee wenzio,
I believe kuna bado walimu wazuri tu,wanaochukulia watoto wa wenzao kama wa kwao,
hao priority kwao,ni kuwaona watoto wa wengine wakifaulu kama wao,
ndio maana nikasema ualimu ni wito,
nyie wengine hamna huo wito,
Lawyer atatafuta mama Ndalichako,a deal na nyie.................
kuna baadhi ya walimu,wako kazini bahati mbaya,kungekua na mchujo aisee.....
watu wanatafuta kazi hata ya kufundisha hawapati,nyie mna kazi bado mnatoa sababu za kijinga eti maslahi yenu duni....mmmmmmmnh
vitaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Heheeeheee eti ualimu witooo, endelea kujidanganyaa hivohivo. Ushauri wangu pambana na hali yako tafuta pesa upeleke mtoto private....kwenye walimu wanaojaliwa na kupewa motivation.
Ukimleta huku anarudi na zero jekunduuuuu...