World Bank warns ‘copy-cat’ lockdowns could jeopardise African economies

Utaonekana kiroja kama unadhani kuto-copy cat ni kuwaambia watu waendelee kujazana makanisani na misikitini kuomba corona iondoke!!!

All in all, habari yenyewe wala haielekei kama ina ukweli... inafanana na ile ambayo MATAGA walitaka kudanganya watu kwamba World Bank imeipongeza Tz na Magufuli kwa mikakati yake ya kupambana na COVID-19!

Bila kuchelewa, WB wakawapa za chembe kwa kukanusha uongo wenu:-Na baada ya kuwapa za chembe, WB wakatoa taarifa ya kile walichosema kwenye ripoti yao, ambayo pamoja na mambo mengine, walisema:-Haya, ni kipi kati ya hayo yaliyoshauriwa na WB kimefanywa na JPM?!

Endeleeni tu kujitekenya tekenya hivyo hivyo, na kuendelea kuzusha habari ili ku-justify maono hafifu ya Rais!

“Finally, African policymakers need to think ahead about the exit strategy from COVID-19. Once the containment and mitigating measures are lifted, economic policies should be geared toward building future resilience,” the global bank said.
 
You're very right... na tena kabla sijaiona hii post, sekunde chache tu zilizopita nimetoka kuzungumzia hilo suala la economic policy.
 
Back
Top Bottom