Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
Nadhani kuna haja ya kutafuta sababu ni kwa nini kuna watanzania wachache sana kwenye AU na UN. Najua kuwa sababu moja ni umaimuna, na wasio maimuna wanajua lugha moja tu, any other reasons?
Nina mifano hai, lakini kuna moja baya zaidi. Wakenya wanaitiana nafasi hizo na wabongo waliobahatika kuingia hata hawathubutu kufanya kuita wabongo wenzao. Muhimu ni kuzitangaza pindi zinapopatikana. Kwa wale wenye sifa hizo fanya kutuma maombi kila iwezekanapo. Kama mtu hajui namna ya kuandika applications bora afuatilie eneo hili maana tutaanza kutoa somo juu ya namna ya kuandika application letters, CV n.k.
Apply people!
Na ukiwaonyesha WaTz wenzio..unaambulia kejeli!
Watu hawa-apply nafasi hizo. Na hata waki-apply wengi hukosea application letters au kwenye usahili hujikanyaga kwelikweli.