World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020

Kwa mwendo aliokua anakwenda nawo JK mngetoka kipindi kile, awamu ya sasa mumekua kisiasa zaidi na wenye hasira hasira full visasi. Hawa hawa World Bank walishusha namba za ukuaji wenu mkawatukana sana, leo wamesema mnakaribia kutoka kwenye LDC mnawakubali fasta.
Unamsifia JK sababu mlifanya TZ shamba la bibi sio. Sasa mtakula mlipo fanyia kazi nyambaf
 
Kwa mwendo aliokua anakwenda nawo JK mngetoka kipindi kile, awamu ya sasa mumekua kisiasa zaidi na wenye hasira hasira full visasi. Hawa hawa World Bank walishusha namba za ukuaji wenu mkawatukana sana, leo wamesema mnakaribia kutoka kwenye LDC mnawakubali fasta.
Hujiulizi kwann taasisi zingine zilikataa kua tanzania haikui kwa asilimia walizotaja world bank ikiwepo AFDB ??? au nyinyi hua munakubali kila kitu munachoambiwa bila kutumia akili zako kichwani kutoka LDC tumetoka since 2017 ili walikua wametuweka kwenye muda wa uangalizi so usitumie kama hoja ya kisiasa tulieni sindano zipenye.
 
Ngoja nimtag mtu hapa mwaswast kuja huku uone na uache kuita Tz ldc zen now tumeshawalipa deni lenu la ldc, ss tunaomba nanyi mtulipe hiiView attachment 1493018
Kweli dawa ya deni ni kulipa, na wao watulipe deni la kutengeneza bilionea, tuone kama wanajeuri.

NDINDA unakumbuka nilikuambia hii picha tuiweke itatufaa kupigia hawa nyang'au, sasa naona The best 007 anaitumia vizuri sana.
 
Kweli dawa ya deni ni kulipa, na wao watulipe deni la kutengeneza bilionea, ma.mae. Tuone kama wanajeuri.

NDINDA unakumbuka nilikuambia hii picha tuiweke itatufaa kupigia hawa nyang'au, sasa naona The best 007 anaitumia vizuri sana.
Mwanzoni nilipokuwa naitumia walikuwa nao wanaweka ile yao ya ldc, but tng walipokugundua kuwa Tz co ldc wamekuwa hawaijibu tena
 
The World Bank is to officially declare Tanzania a middle income country as of 1st July 2020. Jumuiya ya Afrika Mashariki sasa inakuwa na mataifa mawili kwenye kundi la MICs.

Swali: Itakuwaje kuhusu East African Community - European Union Economic Partnership Agreement? Maana Tanzania iligoma ikiamini kwamba italindwa na ile special arrangement kwa nchi maskini. Yetu macho!
Hongereni watanzania!

Yaani for the first time mkenya kupost thread ya habari njema kuhusu TZ,inaonesha mmeanza kukubali mziki wetu.
 
Magufuli aliyoyafanya kama angefanya JK muda huu tungekua tunakusanya mapato maradufu,Kipindi ambacho ke ndio mlikua mnaongoza kuuza Tanzanite hakiwezi jirudia

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app

Natumia takwimu za hao hao mabeberu ambao wamewakuna leo kwamba mtatoka kwenye umaskini na kuja huku tuliko, kipindi cha JK walikua wanataja ukuaji wenu kwenye zaidi ya 7.2% na kwa awamu ya sasa wakashusha mkang'aka sana na kuwatukana. Hivyo kwa takwimu zao kwa JK mlikua mnakuja kwa kasi sio mchezo, ila siku hizi ni makelele tu.
 
Mpo tu kwenye border. Eti mna Gdp per capita ya $1,080. Yaani mnaweza kurudi nyuma dakika yoyote. World bank wangengoja kwanza angalau mfikishe Gdp per capita ya $1,200 ili mpandishwe.
 
Eti JK, ww Hamna kitu unajua, ni ushabiki maandazi tu umekujaa. Unajua JK alikuwa anakusanya sh ngapi ukicompare na JPM, same resources, but JPM outperformed JK, u know perfect well, lkn sababu unamwonea wivu JPM, mnatafutaga tusababu twa kifara kumdiscredit jiwe.
Kila goti litapigwa awamu hii, hata kisirisiri

Naona mnaniquote nyote kwa povu bila mantiki, chagueni mmoja nitumie kuwajibu nyote kwa mpigo...hehehe maana sina muda wa kumjibu kila mmoja, nawapuuza wengine wote.

Narudia tena, natumia takwimu za hawa hawa World bank waliosema leo mpo kwenye hatua za kutoka kwenye umaskini, mkaja mbio kwa furaha, wao ndio takwimu zao za ukuaji wa kipindi cha JK na za kipindi hiki zina utofauti mkubwa, kwamba kipindi cha JK takwimu zao zilikua zinapaa.

Tumieni akili acheni mihemko.
 
Back
Top Bottom