MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,751
- 48,392
Shida inakuja pale mwanauchumi anapochanganya uchumi na siasa heheheheheeee unachekesha sn ww yn unaongea bila aibu eti wakati wa Jk ndo tulikuwa tunawapa homa kwa kuwa uchumi wetu ulikuwa unakuwa kwa 7% ss mbn miaka yote hiyo 10 ya Kikwete hatukuwakaribia na wala hamkuwa na wasi wasi km mliokuwa nao ss? Yn kipindi cha Jk ambapo uchumi wetu ulikuwa unakuwa kwa kasi Wakenya hawakuwa na adabu kwa Tz lkn wakati huu wa Magu ambapo uchumi wetu unasua sua ndipo Wakenya mmekuwa na adabu na wasi wasi mkuu, nadhani ss neno langu nililokuambia kwamba huwa sibabaishwi na uchumi wa kwenye makaratasi umeanza kuelewa
Kabla haujahangaika kuandika andika humu kasome historia ya takwimu zenu, kipindi cha JK pengo baina yetu lilikua linapungua, ila kwenye awamu hii ya tano ndio tumewaaga kabisa, pengo limeongezeka mpaka tunaelekea kuwapiga double, hivi mbona unakua mzembe wa kusoma data.