World Bank: Tanzania kuwa nchi ya uchumi wa kati mwaka 2020

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Tuko vema kama WB wanavyokiri wenyewe
Screenshot_20190718-183706.jpeg
 
Mwenye macho haambiwi tazama. Aibu kwa marais waliokuwa wanapiga dili hasa awamu ya 4 na 3.
 
Hyo ripoti ingesema umasikini utaongezeka mngesema ni mabeberu na wanachukia maendeleo. Wazee wa double standard.
Mwenye macho haambiwi tazama. Aibu kwa marais waliokuwa wanapiga dili hasa awamu ya 4 na 3.
 
Per capita GDP yetu haifiki US$ 2000 kwa mwaka mzima then how comes tutakuwa uchumi wa kati mwakani ?


Hivi WB wanafahamu hali halisi ya portion kubwa ya WaTZ ambao maisha yao wanaishi vijijini? Kule Vijijini hata vyoo vya wananchi wa huko vinatia kichefuchefu

Vipato hapo ndio balaa maana mfano Wakulima Mahindi wa kuuza mavuno Mahindi gunia 10 mmoja mmoja huko kijijini
 
Asante sana Kaka Wakudadavua, kwa taarifa hii muhimu ya WB, ila pia watu humu jf ni watu wa ajabu sana, taani bandiko muhimu kama hili la tangu Julai, halikuchangiwa na yeyote mpaka leo, ndio tumechangia sisi wanne!.

Any way, wiki Ijayo, tutajumuika nao katika tukio hili muhimu.
1570567801841.png

Karibu.
P
 
  • Thanks
Reactions: Dua
Ndugu zangu,

Tuko vema kama WB wanavyokiri wenyeweView attachment 1156670
Mwenye macho haambiwi tazama. Aibu kwa marais waliokuwa wanapiga dili hasa awamu ya 4 na 3.
Ni kweli kabisa hoja zenu zina mashiko ya uhalisia.

Wakati Rais wa kwanza, Baba wa Taifa alijenga umoja wa kitaifa na kuweka misingi mikuu ya uchumi kwa watanzania. Rais aliyefuata alivuruga na falsafa/kaulimbiu yake ya Fursa.

Rais aliyefuata alijikita katika misingi ya utawala bora huku akikumbatia mabepari kwa kuwarudishia nguzo kuu za kiuchumi zilizokuwa zimetaifishwa awamu ya kwanza ya utawala wa nchi.

Aliyemfuata akamua kuiacha nchi ijiendeshe yenyewe bila usimamizi wowote mithili ya ndege mbayuwayu (changanya yake na yako unaishia).

Kwa kufuata misingi hiyo ya utawala iliyowekwa na watangulizi wake, Rais wa sasa anatumia falsafa zote kuiendesha nchi. Hivyo siyo ajabu kuona maendeleo hayo ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiteknolojia yakipanda kwa haraka, kuliko inavyotegemewa
 
Back
Top Bottom