World Bank: Tanzania is more poverty stricken than her East African neighbors.

Ukifanya hiyo, piga pia hesabu ya Tanzania ambayo World bank imesema ni 49.1% ya watu wanaishi chini ya $1.90 kwa siku. Hiyo ni karibu 1/2 kwa fraction. Kwa hivyo 1/2 ya 60 million ni ngapi?

Fanya hesabu haraka haraka tuendelee.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nifanye hesabu kwenye parody sio? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Naona ni madawa umesahau. Hiyo world bank website kwenye uzi si parody, hiyo twitter account umeleta ndiyo parody.
Hay fanya hesabu haraka haraka ulete majibu hapa na kama imekushinda sema usaidiwe.
 
mbona data zinajieleza kwamba ni 12 million only are below 2$ a day? Unataka msaada gani tena?

Ninyi ni watu million 28 wanaogelea kwenye tope la ufukara πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Hawana mbele hawana nyuma

Screenshot_20200602-055518~2.png
 
mbona data zinajieleza kwamba ni 12 million only are below 2$ a day? Unataka msaada gani tena?

Ninyi ni watu million 28 wanaogelea kwenye tope la ufukara πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Hawana mbele hawana nyuma

View attachment 1581535
Show us anywhere in this your tweet imeandikwa kuwa only 12 milion Tanzanians are living below $2 a day. Nangoja.
 
Ni kama social media inaku changanya hiyo account unaona kama iko verified? Mbona inasema tofauti na website ya World bank na haina alama ya kuonyesha iko verified.
Umeona hile alama iko kwa twitter ya nation media, inamaanisha iko verified. Wacha kuleta hizo propaganda munajitengenezea.

Hesabu umemaliza ama ni porojo tu unataka kupiga mpaka usiku?
 
Tena hii covid-19 effects ndio imegaragaza kichizi kwenye umaskini uliotopea

1 million young people have been thrown into streets for the lack of job among them, thousands eyed dumpsters as their last meals refuge

Ni kama social media inaku changanya hiyo account unaona kama iko verified? Mbona inasema tofauti na website ya World bank na haina alama ya kuonyesha iko verified.
Umeona hile alama iko kwa twitter ya nation media, inamaanisha iko verified. Wacha kuleta hizo propaganda munajitengenezea.

Hesabu umemaliza ama ni porojo tu unataka kupiga mpaka usiku?
ni lini twitter yao Tanzania ilikua verified? Ipo hivyo hivyo siku zote na sio kila account ambayo haipo verified ni parody, naona unazidi kuchanganyikiwa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hizi data za Tanzania ni za mwaka 2017, kunya ni za 2015 na Uganda ni za 2016.

Hebu leteni recent data tuone.
Wakileta recently data Hali inaweza kuwa mbaya zaidi maana Mimi sijawahi sikia serikali ikisema imepunguza umaskini kwa kutaja figures nachosikiaga na kusoma ni kutaja idadi ya structures walizojenga tu
 
Back
Top Bottom