World Bank: Tanzania is more poverty stricken than her East African neighbors.

Teargass

JF-Expert Member
Apr 23, 2018
19,160
15,428
World Bank data shows that Tanzania has more poor people who are living on less than the international poverty line($1.90 a day) in the region as compared to Kenya and Uganda. For a long time, the Tanzanian poverty line started at $0.69 a day compared to Kenya`s which starts at 1.90 dollars per day. The reason why the Tanzanian poverty line was that low was because they were still classified as one of the Least Developed Countries in the world same as Uganda.

Recent data from the World Bank shows that the Tanzanian poverty rate at $1.90 is 49% as of 2017 (most recent), Ugandan poverty rate at $1.90 is 41% as of 2016 (most recent) while that of Kenya is 36% at $1.90 as of 2015(most recent). Here is a quote I retrieved from World Bank concerning Tanzania " ... Today, Tanzania records 14 million poor people, up from 13 million in 2007 ($0.69 per person per day) Moreover, the report notes that a significant proportion of the population remains vulnerable to falling into poverty and about half of the population continues to live below the international poverty line of $1.90 per person per day. Here is another quote from the World Bank about Kenya "...The new country economic update shows that the proportion of Kenyans living on less than the international poverty line (US$1.90 per day in 2011 PPP) has declined from 43.6% in 2005/06 to 35.6% in 2015/16"

Poverty headcount ratio at $1.90 a day (% of population) - Uganda, Tanzania, Kenya | Data

Screenshot (203).png
 
Another data from a much recommendable article, World Data Lab. It shows that as of 2020, Tanzania had a 46% poverty rate at $1.90 per day while Kenya had a 16% poverty rate at $1.90 per day.

Screenshot (175).png
Screenshot (182).png

Vip kuhusu uchumi wa kati
Poverty line inaanza @1.90$ kwa siku, kwa nchi zenye uchumi wa kati. Hapo mwanzoni umasikini nchini Tz ulikuwa unapimwa kwa vigezo vya wanaoishi chini ya $0.69 kwa siku huku wa nchi ya Kenya ukitumia hiyo $1.90. Hayo ndio manufaa ya kuingia kwenye mido inkamu, hakuna cha kubebwa wala nini kila mtu anapambana na hali yake.
 
Poverty line inaanza @1.90$ kwa siku, kwa nchi zenye uchumi wa kati. Hapo mbeleni umasikini nchini Tz ulikuwa unapimwa kwa vigezo vya wanaoishi chini ya $0.69 kwa siku huku wa nchi ya Kenya ukitumia hiyo $1.90. Hayo ndio manufaa ya kuingia kwenye mido inkamu, hakuna cha kubebwa wala nini kila mtu anapambana na hali yake.

Duh poleni bandugu, mnazidi kuitia Afrika aibu.
 
Poverty line inaanza @1.90$ kwa siku, kwa nchi zenye uchumi wa kati. Hapo mbeleni umasikini nchini Tz ulikuwa unapimwa kwa vigezo vya wanaoishi chini ya $0.69 kwa siku huku wa nchi ya Kenya ukitumia hiyo $1.90. Hayo ndio manufaa ya kuingia kwenye mido inkamu, hakuna cha kubebwa wala nini kila mtu anapambana na hali yake.
Mkuu nadhan badara ya kuandika MWANZANO umeandika MBELENI Nadhan Umekosea
 
Poverty line inaanza @1.90$ kwa siku, kwa nchi zenye uchumi wa kati. Hapo mbeleni umasikini nchini Tz ulikuwa unapimwa kwa vigezo vya wanaoishi chini ya $0.69 kwa siku huku wa nchi ya Kenya ukitumia hiyo $1.90. Hayo ndio manufaa ya kuingia kwenye mido inkamu, hakuna cha kubebwa wala nini kila mtu anapambana na hali yake.

Tanzania imeingia middle income 2020, hapo data zilizoletwa ni za 2017 hivyo your argument don`t hold water.
 
World Bank data shows that Tanzania has more poor people who are living on less than the international poverty line($1.90 a day) in the region as compared to Kenya and Uganda. For a long time, the Tanzanian poverty line started at $0.69 a day compared to Kenya`s which starts at 1.90 dollars per day. The reason why the Tanzanian poverty line was that low was because they were still classified as one of the Least Developed Countries in the world same as Uganda.

Recent data from the World Bank shows that the Tanzanian poverty rate at $1.90 is 49% as of 2017 (most recent), Ugandan poverty rate at $1.90 is 41% as of 2016 (most recent) while that of Kenya is 36% at $1.90 as of 2015(most recent). Here is a quote I retrieved from World Bank concerning Tanzania " ... Today, Tanzania records 14 million poor people, up from 13 million in 2007 ($0.69 per person per day) Moreover, the report notes that a significant proportion of the population remains vulnerable to falling into poverty and about half of the population continues to live below the international poverty line of $1.90 per person per day. Here is another quote from the World Bank about Kenya "...The new country economic update shows that the proportion of Kenyans living on less than the international poverty line (US$1.90 per day in 2011 PPP) has declined from 43.6% in 2005/06 to 35.6% in 2015/16"

Poverty headcount ratio at $1.90 a day (% of population) - Uganda, Tanzania, Kenya | Data

View attachment 1581192
70% ya wakenya wanaishi chini ya 0.6$

Tena hii data wala sio ya WB, hii ni yenu wenyewe kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣

Maana yake pomoja na hivi bado mmeipika sana, nategemea WB watasema 99% ya wakenya ni mafukara ya kutupwa 😀
2530672_Screenshot_20200813-0718582.png
 
Wewe naona hesabu ilikupita ama ulisoma kwa dirisha. Haya wacha tufate hiyo ya knbs kuwa1/3 ya wakenya wanapata $1.90 na chini kwa siku. 1/3 tangu lini ikawa 70%, ama ni madawa hujameza? 1/3 ya 47 million ni ngapi? Nangoja jibu.
 
70% ya wakenya wanaishi chini ya 0.6$

Tena hii data wala sio ya WB, hii ni yenu wenyewe kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣

Maana yake pomoja na hivi bado mmeipika sana, nategemea WB watasema 99% ya wakenya ni mafukara ya kutupwa 😀
2530672_Screenshot_20200813-0718582.png
Ukifanya hiyo, piga pia hesabu ya Tanzania ambayo World bank imesema ni 49.1% ya watu wanaishi chini ya $1.90 kwa siku. Hiyo ni karibu 1/2 kwa fraction. Kwa hivyo 1/2 ya 60 million ni ngapi?

Fanya hesabu haraka haraka tuendelee.
 
Back
Top Bottom