World Bank Operations in Tanzania Remain Sturdy Despite Kenyan False News Machinery

The so called party chairman is not running anything in this country so the point of focus should be to an incompetent man whose senseless decisions are affrcted by the majority you can not crumble, frustrate , the economy and ruin the businesses and act like everything is normal
Wishful thinking of that to happen for your Party's leaders to get elected.

The economy is strong and growing stronger and stronger each year.
 
Hii taarifa lazima itakuwa imetolewa na mtu mwongo mjinga.

Mtu mwerevu hata kama ana nia ya kudanganya, hufanya hivyo kwa akili. Taarifa ya 2018 ya investment environment attractiveness, Tanzania imeanguka na na imekuwa chini ya Rwanda na Kenya halafu kwenye uwongo huu eti ni ya pili kwa ubora katika East Afrika! Wendawazimu mkubwa!

Uzalendo siyo kuwa mwongo, siyo kuwa mpu.mbavu, siyo kuwa mjinga, siyo kuwa mnafiki, siyo kushangilia kila kitu hata kama ni cha kipuuzi au kibaya.

Uzalendo ni kuutambua ukweli na kuutetea, kuwatambua na kuwakataa wanaoharibu maendeleo ya nchi yetu kwa sheria za kipuuzu, kwa matamko ya kipuuzi, wanaoifanya nchi yetu ionekane kuwa ni ya ovyo kwa kuua uhuru wa watu, kuua demokrasia au kutaka kuleta utawaka wa chuma, kuteka na kuua watu.

Tuipende nchi yetu kwa kuwakataa wanaoiharibu. Wanaoamini wanajua kumbe ni wajinga.

Tanzania ni ya Watanzania wote. Wote wana haki na wajibu wa kuijenga. Kila mtu ana mchango wake.

Waliopewa madaraka wasiamini wana akili na uwezo kuliko Watanzania wote. Nje ya watawala kuna Watanzania wengi wenye ujuzi, uwezo, uzalendo, akili na ufahamu kuliko hata waliopo kwenye utawala. Hawa wote wanatakiwa kujengewa mazingira wezeshi ya kutoa michango yao katika ujenzi wa Taifa

Sawa kabisa ila kila Mtz ajijengee mazingira ya kutoa michango sahihi ya ujenzi wa Taifa hili na siyo kujikana kuwa hahusiki na makosa ambayo WaTz wengine wanavyojitahidi kuiambia Jumuiya ya Kimataifa. Kwani mwisho wa siku kama kuna mafanikio, au la, ni ya kila Mtanzania.

TUSIJIVUE NGUO MBELE ZA WATU. HUO NI ULOFA NA UPUMBAVU.
 
Who thinks so, like you, should look at the other side where all decisions are made by one man, the so called Party Chairman. Do you know who is the Party's spokesperson? OR Have you ever asked yourself why he is not criticised by his fellow leaders even over the misuse of Party's funds? Would such a Political Party be entrusted with the rule of this country?
We kweli umeishiwa hoja yaani wewe umeona bora uhamishe goli badala ya kukubaliana na ukweli, tunapoelekea kama taifa ni kubaya tusipo fanya jambo lolote.
 
HUU SIO UZALENDO BALI NI HARAKATI....
UZALENDO ni ile hali ya kuipenda kwa dhati, kuiheshimu na kuitumikia nchi yako kwa moyo wako wote kwa hali yoyote ile hata kama utalazimika kutumia uongo ili ionekane vizuri mbele ya mataifa mengine. Kuwa tayari kujitolea hadi tone la mwisho kwa nchi yako NA SIO NCHI NYINGINE. Hili siyo swala rahisi kama wengi tunavyofikiri, na wala siyo swala jepesi.
Huo siyo uzalendo bali ni wendawazimu.

Mtu mwenye akili timamu na aliye mzalendo wa kweli hawezi kutetea kwa mfano kiongozi wenu anaua au kutesa wananchi wenzenu, halafu muendelee kumtetea eti kwa kuwa ni kiongozi wetu.

Uzalendo ni kutetea maslahi ya Taifa na siyo mtu au chama au kikundi cha wachache. Kuwa mzalendo ni kuwa tayari kufanya lolote hata kushirikiana na mataifa mengine kupambana na wanaoharibu ustawi wa nchi.

Afrika Kusini wakati wa ubaguzi wa rangi, wakiomba msaada toka mataifa mbalimbali, ni pale ambapo America na UK walipounga mkono, makaburu ujeuri uliisha. Lakini nguvu ya Waafrika pekee yao, haikumtikisa Kaburu.

Wananchi wazalendo tupambane na anayeharibu taswira ya nchi na siyo wake wanaouonesha uovu utendekao nchini mwetu.
 
We kweli umeishiwa hoja yaani wewe umeona bora uhamishe goli badala ya kukubaliana na ukweli, tunapoelekea kama taifa ni kubaya tusipo fanya jambo lolote.
Hali ya uchumi wa nchi ni imara zaidi kuliko awamu zote za utawala. Mifano iko mingi tu, huhitaji kuambiwa au kuona, kama una masikio na macho, vitu vilivyofanyika na vinavyoendelea kufanyika katika kuongeza na kuboresha huduma za jamii (elimu, afya, maji), miundo mbinu na usimamizi wa rasilimali za nchi hii.
 
Fake news.

Taarifa za kuandikwa na akina Mzee Mwanakijiji.
New York

A senior economist within the World Bank system has clarified that the Bank's travel advisory note to its members composing a mission that was supposed to visit Tanzania this time around pending “security assessment” is a normal "internal administrative procedure."

The expert who took part in the Bank's missions in several Asian and African nations, emphasized, contrary to the distorted report published by a Kenyan online site, the Bank’s notice is also very specific to the announced clampdown of the lesbians by the Regional Commissioner (RC) of Dar es Salaam, and not on “general human rights issues,” in Tanzania as alleged by the Kenyan false news site.

“We always do the alerts whenever security situation in a member state so requires. Our missions comprise of diverse nationalities; they must be informed of critical issues surfacing in the countries they visit,” said the senior official.


The Bank expert economist reaffirmed: “On-going projects, operations and future missions such as those of Tanzania are well in order and per schedules despite such alerts. Nothing changes and I wonder why Kenyan media would spend time to signal wrong alarm.”


The source cited several missions in the recent past to have been similarly aborted on diverse security reasons in many other countries to allow “security assessment” for the safety of the visiting experts. The notices would last from few days to weeks.


The government of Tanzania has already issued clarification on the lesbian hullabaloo, insisting that despite homosexual being a criminal offence under its laws, the clampdown announced by the RC was not a government operation or position.


“The government will continue to observe its commitment to human rights principles without compromising our cultural norms,” said the statement issued by the government of Tanzania a couple of days ago.


Tanzania remains the East Africa’s fastest growing economy beating Kenya by far and only second on investor attractiveness index according to World Economic Forum and and Investor Attractiveness Index.

The Bank’s website still maintains a positive note on Tanzania’s economy: “Tanzania has sustained relatively high economic growth over the last decade, averaging 6–7% a year. While the poverty rate in the country has declined, the absolute number of poor has not because of the high population growth rate.
 
We know every effort by LGBT to influence WB decisions but Tanzania has the rule of law and every rule vs LGBT basket mouth!


Add plus CHADEMA followers, they spread fake and false negative news just to get political gain & attention ( kiki ), of which they will not..!!
 
Back
Top Bottom