World Bank nao wasitisha misaada kwa Tanzania

mkiwakabidhi vilaza nchi lazima Haya yatokee,Rais wa nchi anatengewa Tshs 50 billion kwa ajili ya kusafiri hv kweli hizi ndio akili za watu weusi,yaani WANAUME huko ULAYA na ASIA wanafadhili serikali zetu ss tunachukua pesa tunasafiria na kununua magari ya kifahari bila hata haya wala soni.TUNAZIOMBA nchi zinazotufadhili ziache kabisa kuleta fedha kupitia mikono ya watu wasio na akili kama MZEE wa tezi dume na mashetani wote wa CCM ambao wameamua kumfuata shetani na kutembea nae.Haiwezekani Kuwa na serikali inayoishi kifahari katika kundi kubwa la watu maskini.Huu ni UNYAMA wa wazi tunatendewa watanzania.CCM HAIKUBALIKI,HAIKUBALIKI,HAIKUBALIKI NA IPOTEE NA MASHETANI WAKE WOTE.
 
Kuzuiliwa kwa fedha hizo kumesababisha arthari kubwa zifuatazo:-

  • Wananchi kufa kwa kukosa huduma ya afya ambayo bajeti yake kwa kiasi kikubwa inawategemea watu hao.
  • Ajira kupotea na biashara kuharibika kutokana na mzunguko uliotegemewa kwa mitaji husika kutokuwa na kutokuwa na uhalisia.
  • Nchi kuwa na sifa mbaya kimataifa.
  • Miradi ya maendeleo ya wahisani yao kupungua badala ya kuongezeka kutokana na kutokuwa na imani na serikali.
  • hali ya maisha na uchumi kuwa mbaya
 
Rais wetu anasubiria apate muda kumuomba radhi Mtoto Mpendwa Sethi aliyepeleka Mahakamani Maazimio ya Bunge eti yasitekelezwe,hivyo Rais wetu mpendwa anatafuta njia ya kumuomba radhi MUWEKEZAJI huyu ili aweze kuyatekeleza yale yote aliyotakiwa kuyafanya na BUNGE,kwani anaogopa Mtoto Mpendwa anaweza kumuweka MAHABUSU
 
Wakianza kupokea misaada wapinzani utakuwa mwisho wao maana watabonyezwa zaidi ya zimbabwe

Zimbabwe kuna mzalendo wa kweli Robert Mugabe.Hapa kwetu hakuna mtu mwenye uwezo wa kuunganisha wananchi.Viongozi wamegeuka kuwa wabaka Uchumi pamoja na watoto wao.Nawalinganisha na yaliyowakuta Muamar Ghadafi,Hussein Mubarak na Sadam Hussein.
 
Back
Top Bottom