World bank: Nafasi ya Tanzania duniani wepesi wa kufungua Kampuni au Kiwanda

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
3,763
5,591
Utafiti huu umefanywa katika nchi 189 tanzania ni ya 139 duniani kwa wepesi wa kufungua na kuanzisha bisashara. Tanzania ya viwanda na wafanyabiashara inawezekana lkn maeneo haya lazima yafanyiwe kazi mapema ili tusiwe kichwa cha mwenda wazimu.

takwimu zingine ni kama vile na nafasi yetu duniani,

1:Kufunga biashara, POSITION 129

2:Kushughulikia vibali vya ujenzi, PSITION 126

3:Kupata umeme, POSITION :83

4:Kupata mkopo, POSITION: 152

5:Kulipa kodi, POSITION :150

6:Kufanya biashara nje ya mipaka ya nchi, POSITION 180

Kwa afrika mashariki takwimu ni;
1: RWANDA (62 Duniani)
2:KENYA (108 DUNIANI)
3:UGANDA (122 DUNIANI)
4:TANZANIA (139 DUNIANI)
5:BURUNDI (152 DUBIANI)

KUSINI MWA JANGWA LA SAHARA
1; MAURITIUS (32 DUNIANI)
2:RWANDA (62 Duniani)
3:BOTSWANA (72 DUNIANI)
4:SOUTH AFRICA (73 DUNIANI)

NCHI KUMI BORA KABISA DUNIANI NI
1: Singapole 2:New zealand 3:Denmark, 4:Korea kusini, 5:Hong kong, 6: UK, 7: USA, 8:sweden, 9:Finland, 10:Taiwan


NCHI KUMU ZINAZOSHIKILIA MKIA

ELITRIA, LIBYA, SUDANI KUSINI, VENEZUELA, AFRICA YA KATI, KONGO REP, CHAD, HAITI,aNGOLA NA IKWETORIA GUINEA.

SOURCE: Doing Business in Tanzania - World Bank Group
Ranking of economies - Doing Business - World Bank Group
world bank group
 
hakuna nchi iliyowahi kuwa ya kikomunist itakayofagiliwa na takwimu zozote kutoka World bank au IMF. hakuna sehemu ngumu kufungua biashara kama ulaya
 
hakuna nchi iliyowahi kuwa ya kikomunist itakayofagiliwa na takwimu zozote kutoka World bank au IMF. hakuna sehemu ngumu kufungua biashara kama ulaya
Ni kweli kabisa mkuu, nimeishi Finland nimeyaona hayo.
Tanzania hii hata laki mbili tu inakutoa kwenye shimo la umaskini Mungu akikusimamia, ulaya hiyo laki mbili ni ya kahawa tu.
 
Back
Top Bottom