WORLD BANK: Kenya has replaced Tanzania on the list of the world’s top 10 reformers | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WORLD BANK: Kenya has replaced Tanzania on the list of the world’s top 10 reformers

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Oct 8, 2007.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2007
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  World Bank praises Nairobi's economic reforms
  http://www.nationmedia.com/eastafrican/current/Business/Business0110074.htm  Kwa wale wenye kuhitaji DATA basi evidence iko hapa:

  http://www.doingbusiness.org/documents/DB08_reformers_checklist.pdf
   
 2. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2007
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  This would be appropriate for EL, who deceived us that uchumi wetu unapaa. Alisema hata jumuiya ya kimataifa inafahamu hilo, May be this can show him that the so called international community believes otherwise
   
 3. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #3
  Oct 8, 2007
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  so what happened to our airplane?
   
 4. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2007
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Oh, sorry our plane had to stop somewhere to catch another Kasungura, when our neighbour Kenyans took an advantage of leading the race!
   
 5. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2007
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  EL anajua report kama hizi haziwafii watu wa kijijin.....y bother to clarify? acha atupige chana la macho tu........wajinga ndo waliwao.

  tunahitaji kufanya juhudi binafsi kuelimisha watu wetu tz
   
 6. t

  thread critic Member

  #6
  Mar 1, 2013
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kila kitu sub standard

  waanze na BRELA
   
 7. Ishmael

  Ishmael JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2014
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 15,061
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  It is there as you can see Mr. Preso using it. How u deh?
   
 8. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2014
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,351
  Trophy Points: 280
  kwanza data huwa zinabadilika mapema sana....ndio maana rwanda kutoka ktk vita muda si mrefu uwekzaji ukawa rahisi sana.Hata mabilionea wa dunia hata no moja tuu wanabadilishana watu kila mwaka..na kuna wanaotoka top 10 na kujikuta nje ya 50 bora ya mabillionea.Utashangaa kesho Dar nao wanakuwa mji unaokuwa kwa kasi sana ukanda wa Africa..na utasikia pia vitu best ukanda huu vikiwa TZ pamoja na kwamba hatuna vitu vinavyoongozwa na state regulation au vitu vingine vinafanikiwa kw amatukio ya karibu na kura halafu vinafly moja kwa moja. Unaweza shangaa kenya na hayo mazingira bado wanaofanikiwa ni waliokwisha jenga mitaji...ila wasio na mitaji bado wana barriers to entry.Subiri report nyingine ya waliofaidika ktk ya wazawa na wageni,..uiwiano wa wazawa wenyewe nao ni taabu.Chains za supermarkets.....grip ya Safaricome ktk maisha ya wakenya....na kuingia kwa makampuni ya tech kenya....kunawadanyangay watu..Ila windi of change inakuja Utasikia TZ ndio hub tena.
   
 9. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #9
  Mar 29, 2014
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,351
  Trophy Points: 280
  Naturally watanzania ni wepesi san aku adopt vitu ndio maana walikwenda digitala haraka, walichelewa pata Tv ila mud amfupi wamefanya mengi sana,walichelewa pata internet ila walipoingia walipiga bao nchi nyingi sana,..ila siasa za CCM ndio zimeharibu sana taasisi fulanifulani kuwa vikwazo vya change..kweli Leseni ni issue na barrier to entry kwa watanzania wazawa...sasa km una kia kitu ch akutengenza hela bila mtaji halafu unaambiwa leseni unayohitaji inahitaji 200,000/wakati ukianza zalisha kodi yake itapita sana hiyo hela kw amiaka mingi ijayo...Unakuta wapuuzi km mhongo na wengine wakijidai kuwahawataki mtu asiye na uwezo.Sijui wanataka uwezo gani...uwezo wa kukingia au uwezo w akuingia na kuweza baki...?Hilo suala la Mikopo ndilo muhongo alililokuwa kaipinga ila ndio ukweli km wageni wanatumia mikpo yetu kuanzia issue na kuendeleza issue,ktk dili za kuiba rasilimali zetu kwanini wazawa nao isiwe hovyo....huku wazawa wakihakikisha uwekezaji wa hiyyo faida ndani ya nchi.
   
 10. c

  chademaistheway Senior Member

  #10
  Mar 29, 2014
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 100
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 11. Sirm

  Sirm JF-Expert Member

  #11
  Mar 29, 2014
  Joined: Nov 16, 2013
  Messages: 426
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Hizi habari za 2007 mnatuletea leo za nini sisi?
   
Loading...