Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
Hivi ni kweli kuwa Marais wote wa zamani wa Benki ya Dunia ni Wamarekani? Kama ni hivyo ni kwanini?
rupia mkuu, wenye rupia zao na vihenge vyao! wataka kwenda kusimamia kihenge cha mwenzako?
Custom gives United States presidents the power to award the World Bank presidency to any American whether or not they have appropriate managerial skills or development credentials. European leaders exercise patronage authority over the top job at the International Monetary Fund.
Swadaktaa,
To see past presidents click here
World Bank ilianzishwa kwa kiasi kikubwa kwa msaada wa "Marshall Plan" ambayo iligharimiwa na serikali ya Marekani kufanya kazi ya "Reconstruction" baada ya vita vikuu vya pili (1945).Msaada kwa kiasi kikubwa ulikuwa kuisadia Europe iliyokuwa hoi baada ya vita.Stalin alialikwa na Truman asaidiwe lakini kwa pride zake za Kirusi alikataa.Europe ilikuwa hoi baada ya vita.Afrika yote kasoro Ethiopia na Liberia ilikuwa makoloni.Utaona kwa nini sio tu Marekani ina influence kubwa sana katika World Bank, bali pia katika Umoja wa Mataifa.
The New York Times wanasema
http://www.nytimes.com/2007/05/19/opinion/19sat2.html
Kwa kiasi kikubwa Waingereza nao, ambao ni rafiki wakubwa wa Wamarekani, wana influence.Tony Blair alisemwa kuwa anaweza kuwa rais wa World Bank, lakini Tony Blair anasemwa kwa kila kazi siku hizi, kuanzia urais wa EU mpaka World Minister without portfolio...

Tatizo ni kwamba MCOMMUNIST AMECONSPIRE NA MWARABU AMA MUISLAM....Na wameitenga WEST na kuna HATARI KUBWA DUNIANI KWANI WAMETENGWA WAKATENGEKA...Na waarabu hawataki kuwauzia mafuta tena na Bush hawezi kuwakoromea Wasaudi kuhusu Bin Laden kwani ndio nchi pekee inayowapa mafuta kutoka huko uarabuni kwa wingi..Lakini bado haawatoshi kwani mchina na mrusi wameingilia kati...Bila kusahahu Muindi.
Kwa hiyo wa communist wame iignore west na institutions zake na pia kwenda kuinvest west kwa mipesa yao ya kufa mtu huku wakisaidiana na mwarabu.
Kama kawaida...WEST MKOMBOZI WAO NI AFRIKA...NA NDIO MAANA MNASHANGAZWA NA AFRIKA KUWA THE MAIN ISSUE....Afrika si tu kuna mafuta kama kwa mwarabu..Bali kuna mali nyingi ambazo hata mwarabu mwenyewe hana na ana zitamani..Na mwarabu anajuwa kama mwafrika akijitawala...Basi na yeye pia hana nguvu Afrika...Ni wakati wafrika wakapigania maslahi yao na si waarabu ama makaburu wafanye hivyo!
Kwani hakuna BANTUS ambao wanapenda kushirikiana na wazungu wema na waarabu wema bila kuharibu usalama wa BANTUS?
Sasa ni wakati wetu waafrika kujipanga na kuchambuwa kati ya mchele na pumba na si kuwa mashabiki wa mwarabu ama mkaburu.
Tunataka UHUR WETU KWANZA...Bila ya ulazima wa kumwaga damu kama tukikubaliwa....Kama waarabu walimwaga damu kwa mafuta...Sisi wenye mafuta na madini tuna HATARI KUBWA ZAIDI!
Halafu baada ya hapo..Mwenye kutupa dili nzuri yenye kuwajali wananchi zaidi...Ndio huyo tutakaye shirikiana kwenye biashara na mali zetu.
Kamwe tusijiingize kwenye vita ya kumpigani mrusi,mkristo,msilam,mwarabu,mzungu,mkaburu ama mtu mwingine yeyote yule.
Tupiganie haki ya mbantu...Halafu tupiganie maendeleo yake...Utajiri wake umsaidie...Halfu baada ya hapo atachaguwa ni dini gani ni nzuri ama ni nani mwenye nia nzuri/mbaya na mwafrika.
Na ndio maana nasema Obama ndio kiungo kizuri...Yeye ana BANTU,ANA UKRISTO,USILAM, NA PIA UZUNGU KWA KUPITIA MAMA YAKE...DADA YEKE NAYE WA HUKO HAWAII NI KAMA MU ORIENTAL TU.
Ni kiungo kizuri kitakachoileta dunia pamoja kama kweli sisi binadamu tunataka tushi pamoja.
Na pia OBAMA NI KIUNGO KIZURI KATI YA UBEPARI NA U SOCIALIST...Kwani huyu bwana ana sapoti kutoka pande zote za mirengo mitatu ya indpendents,Repubs pamoja na dems.
SO LADIES AND GENTLEMEN...LETS CHANGE THE WORLD...TUKIANZIA HAPO EAST AFRIKA KWA JALUO....HADI NORTH AMERIKA.
THIS IS OUR MOMENT...THIS IS OUR TIME...CITIZENS OF THE WORLD...LETS GET TOGETHER AND CHANGE THE WORLD...GOD WILLING...WE WILL BE VICTORIOUS.
Hivi ATM za hii world bank ziko wapi? sijawahi kuona hata moja....
Something is definatelly wrong with you..!! lol
Hivi ni kweli kuwa Marais wote wa zamani wa Benki ya Dunia ni Wamarekani? Kama ni hivyo ni kwanini?
Ooh come on man...why you say that? I can't ask a question....